akili maki
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 238
- 205
Ikiwa wasomi wetu hivi ndivyo walivyo! Itachukua miaka mingine 2020 kunasuka hapa tulipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mchungaji Msigwa alipuliziwa!
Rais Magufuli yuko sahihi kwa 100%
Kwako bado kuna mende bwashee?!Acheni unafiki nyie. Mlimshangilia sana Makonda wakati akitutapeli na fumigation zake usiku kumbe wanapiga hela tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamhuri ya Muungano TanzaniaNITAJIENI NCHI ILIYOWEKA MAOMBI SIKU TATU
Haya madeni yameletwa na nani....? yeye toka anekuwa Rais amefanya juhudi gani kupunguza kukopa??? Tuanzie hapo tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umetoka huko? Bagosha 🤡Jaribu kufanya ziara kwenye mochwari zetu ujionee
Jr[emoji769]
Haswa. Kuiga isiwe alama ya Watanzania. Tuigwe.Hamtaki kucopy na kupaste hatua za kujikinga dhidi ya Corona badala yake mnakuja na za kwenu kujifukiza kwenye 100°C!Acheni utani na masuala ya afya za watu!
Spain Italy France wako lockdown mwezi wa pili huu lakini new cases 2000+ kila siku, 400+ deaths kila sikuVipi Spain, Italy, France, USA wanafanya LOCKDOWN?
Na mazingira yetu tunamoishi yanalazisha sisi kuwa na kinga ya asili. Afrika hadi Leo wako watu wanaishi chumba kimoja pamoja na kuku, bata, paka, kunguni, mbwa, mbuzi, ng'ombe na kukoka Moto ndani bila kuwa na madirisha lakini watu wanaishi na watoto wanakuwa na wengine sasa ni maprofessor.Sio kweli ulichokiandika hapa..huu ugonjwa pamoja na kwamba unauwa na watu weusi lakini rate ya vifo kwa watu wenye asili ya Africa ni ndogo sana kulinganisha na wazungu ambao kinga zao za mwili zi nategemea sana msaada wa dawa za Hospital tofaut na sisi ambao kinga zetu zinapewa nguvu sana na mfumo wetu wa lishe na vyakula tunavyokula.