Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Bufa,
Exactly, maisha lazima yaendelee maana hakuna ajuae ni lini hali itatengemaa, suppose Kama ugonjwa utachange kutoka epidemic to endemic tutaendelea na lockdown milele? Hii itakuwa sana na kuwaambia DRC wakae ndani milele ili kuzuia Ebola isirudi tena kwenye jamii.

Magonjwa ya kuambukizana kwa njia ya hewa na kugusana Tanzania ni mengi sana TB, surua, flu ni miongoni mwake, lakini tunashuhudia msongamano mkubwa kwenye daladala bila kujali Kuna TB. Naungana na wewe kuwa dunia ime overeat unnecessarily kwa hili. Haya ni mafua sawa na mafua mengine.

Ukimwi upo lakini watu hawaachi kwichikwichi.
 
MakinikiA,
Na pia mapendekezo ya kuvuta mvuke wa dawa za kienyeji wenye nyuzi joto 100 C ndio kituko zaidi watu watakuwa kama exhaust za magari. Huyu mkuu wa mkoa aliyeamuru Dar ipuliziwe dawa si anafahamika mbona hamchukulii hatua?

Siku nyingine mkuu huyo wa mkoa aliyaribu kuingiza makontena bila kulipia kodi lakini hakuchukuliwa hatua. Siku nyingine tena alisema alitumia fedha za TASAF kwenye kampeni za uchaguzi lakini pia hakuchukuliwa hatua. Ndio kushikwa pabaya huko?
 
SueIsmael,
Kaka hivi unajua idadi ya watanzania wote wenye dalili za Malaria, TB, kichocho, fungus, cancer ya titi, shingo ya Uzazi, tezi dume, HIV.

Je, unajuwa idadi ya vitanda vya kujifungulia vinavyohitajika na vilivyopo Sasa na wakunga wanaohitajika nchini?

Why CORONA? And not malaria?
 
Return Of Undertaker, Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Mnapenda kurukia mambo na kuyasambaza mithili ya Kasuku.

Unaonesha umbumbu wako (hasa kichwa cha habari yako) bila kueleza ni dawa gani inawekwa kwenye mashine hizo. Kama ni sahihi, kitaalamu kujipaka "sanitizer" iweje hizo mashine zisiwekwe "sanitiser"?

Kimsingi "sanitiser" ina kiwango cha juu cha "alcohol >65%). Ile tunayojipaka imewekwa kwenye mafuta. Ile inayowekwa kwenye hizo mashine ni "75% alcohol spray" na huchukua muda mfupi kuyeyuka (kutoweka), asili ya "alcohol".

Kwa sababu hizo, nani mpumbavu, wewe unayejifanya ujuaji au Rostam aliyetoa hizo mashine na waliopewa, ambao naamini wana wataalamu wanaojua kutokuweka kitu kingine kwenye mashine hizo ila " sanitizer".
 
Hamtaki kucopy na kupaste hatua za kujikinga dhidi ya Corona badala yake mnakuja na za kwenu kujifukiza kwenye 100°C!Acheni utani na masuala ya afya za watu!
Haswa. Kuiga isiwe alama ya Watanzania. Tuigwe.

"scientific ...proven" Kuna mengi katika katika masuala ya tiba ambayo yameigwa kutoka barani Afrika. Kulikuwa na hisia, au hata ushauri wa kuwa HydroChloquine inawezekana kutumika-ukumbuke hakuna tiba maalum ya strain hii (covid ya mwaka 2019)yaani katika familia ya corona- na hivyo basi majaribio yanaendelea kwa "mikorogo' ya madawa tofauti.

Kwanini isiwe mvuke na hata muorabaini?Huko nyuma kuna uzi ambao ulidai kuwa watu wa magharibi wanashangwaza na kutokuenea kwa kasi kirusi hicho barani mwetu, na kwa vile kulikuwa na taarifa kuwa ipo uwezekano, nasisitiza "uwezekano" wa tiba kwa "HydroChloquine" ndio maana nikabandika kule, labda kwa sababu tumekuwa tunatumia chloroquine, basi uwezekano wa kuimarika au kujiimarisha kwa kinga zetu.. na kwa vile mie sio mtaalam sijui kama HydroChloroquine na Chloroquine ni sawa...sidhani hivyo, lakini nikaenda kusema kuwa labda malaria ilitusaida, a "blessing in disguise"

...vile vile moja ya matakwa ya dablu hech ho ni kuona nchi zinashirikiana katika kubadialshana data na hata mikorogo na majaribio yake kwene tiba, sioni sababu yeyote kwanini tusiigwe, au kuwa mstari wa mbele katika majaribio haya, iwe mvuke, mwarobaini au hata dawa za kimasai! kwani vyanzo vingi vya madawa ya chupa vimetoka mitini!

Ndugu we baki na ulimbukeni, kama unataka, au usaidie kuondokana nao. Asante,
Aluta Continua
 
Sio kweli ulichokiandika hapa..huu ugonjwa pamoja na kwamba unauwa na watu weusi lakini rate ya vifo kwa watu wenye asili ya Africa ni ndogo sana kulinganisha na wazungu ambao kinga zao za mwili zi nategemea sana msaada wa dawa za Hospital tofaut na sisi ambao kinga zetu zinapewa nguvu sana na mfumo wetu wa lishe na vyakula tunavyokula.
Na mazingira yetu tunamoishi yanalazisha sisi kuwa na kinga ya asili. Afrika hadi Leo wako watu wanaishi chumba kimoja pamoja na kuku, bata, paka, kunguni, mbwa, mbuzi, ng'ombe na kukoka Moto ndani bila kuwa na madirisha lakini watu wanaishi na watoto wanakuwa na wengine sasa ni maprofessor.

Tunao watu wanakunjwa maji na wanyama kwenye chanzo kimoja na watu hao wapo hai, wapo watu hawana vyoo na hawanawi mikono na wapo hadi leo na wamezeeka.
 
Back
Top Bottom