Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatzo nguvu nyingi kulikoTatizo hakuwai kushinda vita yoyote.
Ref to sukari, makinikia, ufisadi, korosho hivi sasa corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali...ni bora watufuche tu,hii minamba inawapa watu hofuWizara ya afya imeshafumuliwa tokea Jana ili kulinda taarifa zinazotolewa, kuanzia leo tutegemee kutopata tena report za ugonjwa wa corona maana waziri ummy mwalimu ameshapigwa mkala mzito asitoe taarifa bila kumskirikisha....
Tutegemee maambukizi zaidi Tanzania
Umeambiwa above. Inaelekea Rais wetu anasoma sana social media na anaangalia sana YouTube. Kasema hadi ya vitunguu. Nimecheka. Yani ana majibu rahisi kwenye maswali magumu.
Sure. Rais anasema anafurahi vyombo vya usalama kupambana na corona kama vita nyingine.
Na wananchi msipokee kitu chochote kinachoweza kuwa chanzo cha corona.
Sasa sijui hapa anawazungumzia wanaotoa misaada ya vifaa.
Its more like kafichwa, acha waziri mkuu na waziri wa afya wawe frontline wakifa hao wa bunge ni wengi unachagua tu wengine.Yeye kaenda kujificha chato,kwani yeye mjinga?Watu wengine hata akili ya kujiongeza hawana!
We mpuuzi simu yenyewe unayotumia umeletewe na mzungu , nguo ukilizovaa , chanjo zote kwenye damu yako , hata herufi unazotumia ni za mzungu..Acha u s e n g e wewe, usiamini kila unacho ambiwa na wazungu, na usijifanye unajua kila kitu.
Why chato? Na sio Dar au Dodoma? Na kwa nini akimbilie chato sasa???? Bonge ya weakness kaonyesha..Kuna athari kubwa sana kwa mtu akijijengea fikira ya kupinga kila kitu,hebu fikiria kidogo makao makuu ya umoja wa mataifa yako Marekani,unataka kuniambia katibu mkuu wa umoja wa mataifa akitaka kutoa hotuba hadi aende Marekani,hawezi kuwa Tanzania na bado akahutubia mataifa yote?
Chato ni Tanzania,tupunguzeni manunguniko yasiyo tija
Sent using Jamii Forums mobile app
..Chato kuna Ikulu ndogo?
..Butiama, Mkuranga, Lupaso, na Msoga hakuna ikulu ndogo.
..Ni kweli Mkapa alihutubia toka Uingereza. Lakini taifa lilikuwa linatambua kuwa anatibiwa. Na taifa halikuwa ktk hatari ya ugonjwa kama covid19.
..Jpm ana udhuru gani unaomlazimisha ahutubie taifa toka sebuleni, kijijini kwake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]U
Utakuwa umetumwa na nchi jirani[emoji3][emoji3][emoji3]
Inawezekana ndio mshauri mwenyeweInaelekea ungeitwa umshauri mkuu wa kaya ndo tungepotea zaidi kwa akili hiyo!
Sent using Jamii Forums mobile app