Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Magufuli ni katili, ni mbinafsi na hana huruma kabisa na mtu yeyote.

Na kibaya zaidi ni kilaza anayejiangalia yeye tu.

Hana Uwezo Wa Kutatua Tatizo Lolote, Ndio Maana Ukimchallenge Anakujibu Kwa Risasi 38 Mwilini.

Kumbuka wakati anaingia madarakani ITV walikuwa wanaonesha sana migogoro na mapigano ya wakulima na wafugaji huko Kiteko, Akawapiga Mkwara Mzito.

Nyerere Alisema 'Hatuwezi Kutatua Matatizo Yetu Kwa Kujidanganya Kuwa Hayapo'
 
It works guys
Wengine%20watajifukiza%20mpaka%20wapate%20degedege%20_rolling_on_the_floor_laughing__rolling_...jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona haangalii ujasiri na nguvu ya nchi
Inamaliza bila huruma ni jukumu letu kufuata ushauri tu wa wataalamu
Gonjwa halina break hili na litakuwepo miaka mingi ijayo huo ndio ukweli na litaondoka na wengi

Hiyo hofu iwe ya kufuata masharti tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Nenda mbweni ukajionee watu wanazikwa kwa kutupwa kwenye mashimo.
Keeeeenge mweupee wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu inaonyesha uwezo uwezo wako wa kuchambua vitu ni mdogo sana. Ungesoma fasihi angalau ungeweza kujua maudhui ya bandiko langu.

Nakushauri hebu ongeza umakini katika kila jambo, utafanikiwa.
 
Akili zenu zinafanana,mmejaa upuuzi!Dunia iko kwenye Crisis nyinyi mnaleta porojo,shame on you,period!
Unaweza eleza kwanini Huko USA ambako daily tunasikia idadi kubwa ya vifo wanaandamana kupinga lockdown na kuna hadi wazee?Kwamba hawa hawaoni wenzao wanavyopukutika?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Unaweza eleza kwanini Huko USA ambako daily tunasikia idadi kubwa ya vifo wanaandamana kupinga lockdown na kuna hadi wazee?Kwamba hawa hawaoni wenzao wanavyopukutika?

Senti bai yuzingi tecno T301
Huenda bila lockdown hali ingekuwa mbaya zaidi,serikali yao sio wajinga!Halafu si kila mtu anaandamana,hata wakiandamana watu 100 sio matakwa ya watu mil 300!Hatuangalii kwa Uganda na Rwanda ambao ni majirani zetu na tunafanana mazimgira?Tunaweza kuchagua tufanye lockdown isiyoumiza sana!

Mwanzo mlikataa kufunga mipaka kwa kisingizio cha utalii,sasa hao watalii hawaji na Corona walishaileta!Hatimaye mipaka imejifunga yenyewe!Haya sasa,tukashauri,Dar ifungwe watu wasitoke kwenda mikoani,mmepuuza pia mpaka imeenea mikoani!Angalieni China waliweza kuzuia maambukizi kwa kuidhibiti Wuhan,wasingefanya hivyo hali ingekuwaje leo?

Kwa sasa watu wengi wanasema wakiona dalili hawawezi kwenda hospitali,watajifukiza na kuendelea na maisha kama kawaida,hii nu baada ya hotuba ya Rais na sakata la Amana Dsm!Hapo unategemea maambukizi yatakuwaje?Endeleeni na ngonjera zenu ila ombeni bahati iwe kwa serikali,else tutawajibishana kwa uzembe unaofanyika!
 
MISULI,
Poll: Americans are afraid of ending the coronavirus lockdowns too soon
Americans are more worried about their health than their finances, surveys show.

Part of the coronavirus conversation in the US is turning to the question of when to start reopening the country. President Donald Trump certainly wants to do it as soon as possible, based on the theory that the public is demanding to be let back out into restaurants and retail stores so they can resume a normal life.
Screenshot_20200424-171114_Chrome.jpg



Poll: Americans are afraid of ending the coronavirus lockdowns too soon
 
Tigershark, Sijui kama umejibu swali langu. Jibu Swali kutokana na ulichoulizwa na sio kuja na majibu uliyokalili.Kingine Swala la kujifukiza linashida gani kama linasaidia?Au umekua brainwashed kiasi kuamini corona dawa lzm itoke Magharibi?

Nachoona kichwani mwako umeweka Corona kama jambo moja hatari sana duniani na ukipata ndio Mwisho wa Maisha. Toka imeingia Tanzania now ni mwezi, ingekua kama unavyoigikiria basi tungeisha kitambo sana.Ina mwezi lkn ni 0.000004 ya watanzania wameathirika, Asilimia hiyo inatosha kukupa pressure?PUNGUZA HOFU ISIYO NA MSINGI.

Kingine Kila nchi ina utashi wake ktk kudhibiti mambo. Kama wao watu 30 wameamua kuweka rehani maisha ya mamilion ni wao. Tanzania tuna njia zetu na tunasonga. Hakuna Lockdown na nchi vizuri zaid ya hata walioweka lockdown.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Kiukweli hatuwez wote kuona jambo kwa usawa,
Hatuwez sote kusikia kwa usawa vilevile
Hatuwezi kupenda kwa usawa pia
Lakini pia kuchukia katu hatuwez kuchukia jambo kwa usawa katu.

Raisi wetu MAGUFULI anania nzuri mno na nchi yetu, raia wake, maendeleo yetu, afya zetu na Kikubwa anania nzuri pia na Africa nzima kwa ujumla, japo hatuwez kuona na kusikia kwa usawa basi tuhisi hilo japo kwa usawa.

Anatumia maneno mepesi ili tuelewe nini anamaanisha anatumia maneno mepesi ili tujue nini kinaendelea, yeye yupo huko kwenye ulimwengu wa siri ni yeye anaejua ukweli lkn hawezi kuusema hadharani kwasababu fulani ambazo binafsi nahisi tu lkn nna hakika zipo nawe usomae hapa unahis.

Raisi wetu anajua corona ni hatari anaelewa corona inaua na imeua watu 10, ni wengi sana lkn anajua kwamb hatua tofauti na hizi zaweza kuua nchi zaid ya watu 10, itatuua ktk maendeleo, akili, afya, maisha, elimu, ajira, kilimo na kimwili pia..
Hivyo amechagua tufe kwa njia moja tu ya kimwili lkn mengine yote tuwe salama binafsi nimemuelewa hapa zaid kuriko uwazavyo.

Corona ipo ni hatari sn inaua, lkn ndani ya corona kuna propaganda nyingi mno kuriko ilivyo, inaweza kuwa kuna mataifa yanatak kutumia corona kututawala kuturudisha nyuma kutuyumbisha kutuua kiuchumi kiakili kimwili na kifikra.

Raisi anatakiwa support yetu watanzania huu sio muda wa kutengana kama nchi huu ni muda wa kuinuka na kupambana na hizi hofu tunazojengewa huu ni wakati muafaka sana wa kupiga bao km nchi km MTU mmoja mmoja kiuchumi kwani wakt km huu ambao wenzetu wamelala sisi tupige kazi sisi tujikinge kwa namna zote na tuijenge nchi yetu. Huu ni muda wa kuomba na kuamini ktk imani zetu ya kwamba corona ni ugonjwa km yalivyo magonjwa mengine hivyo kwa inani tutapona lkn TUPIGE KAZI HASWA.

MIMI NAMUUNGA RAISI MKONO KWA JITIHADA ZAKE ZOTE KWA NCHI KWA RAIA NA KWA BARA ZIMA LA AFRICA ZIDI YA INTERNATIONAL ORGANIZATIONS zinazotak kutumia corona kutufunga daima...

MAGUFULI raisi wangu MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU SANA. Amen
 
MISULI,
Watanzania hatuna njia zetu bali kuna njia za Jiwe!
Pili una uhakika gani kama walioathirika ni hao unaowataja wakati hatufanyi mass testing?
Tatu,ushauri wa kutotumia njia ya kujifukiza umetolewa na madaktari wetu hapa nchini,hata naibu waziri wa afya ambaye ni daktari alisema hivyo,hawajatuambia hivyo magharibi!

Who ni shirika la afya duniani na sia magharibi,hata Rais wake ametokea Africa!
Nne,kama ni kaugonjwa kadogo kama usemavyo, kwanini Kocha kakimbia kujificha?Za kuambiwa changanya na zako!
 
Back
Top Bottom