Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamechanganyikiwa kama wengi tu hata viongozi wetu.Unaweza eleza kwanini Huko USA ambako daily tunasikia idadi kubwa ya vifo wanaandamana kupinga lockdown na kuna hadi wazee?Kwamba hawa hawaoni wenzao wanavyopukutika?
Senti bai yuzingi tecno T301
Ikiwa waliofanya hata hawakujua kama itasaidia au walijua haiwezi kusaidia na wakafanya, bas hapana Shaka kwambMorgan mg 14,
Katikati ya mapambano unaita jitihada za wenzio upuuzi mtupu hadharani? Halafu unataka mshikamano ktk mapambano?
Bora unayaelewa haya mambo mkuu.. yawezekana ni kwel inaua various viruses lkn sio corona lbd. Ndio maana yeye alisema km ingekua ni hakika corona anauliwa na fumigation bas asingekuepo kbsa dunian kwasababu U.S Italy Spain wasingeshindwa kuzimwagilia nchi zao. Hata ww unajua hilo wasingeshindwa wao arafu sisi tuwez kwenye hilo.Ni kweli chlorine haina uwezo wa kuua virus? Na hapa mtaalamu anatuambia hivi:
"Chlorine-based disinfectants are very effective against a wide range of viruses and bacteria, and under the right conditions even parasites," says Mary Ostrowski, senior director of chlorine issues at the American Chemistry Council.
Sorry mkuu, kujifukiza ni njia iliyothibitishwa toka zamani japo wazungu kwao huwa hawaitumii sana sijui niseme kabisa tu ili tuelewane, lkn kujifukiza ni njia sahihi ya kumuua na kumdhoofisha virus yyt yule mwilin hata ukiwa na mafua unashauliwa kunywa na kula vyakula moto sana na sio baridi.Kujifukizia alikokuja nako Kama soluhisho kumekuwa tested wapi kwamba ni kinga ya corona? Je mtu anaweza akajifukiza kwa joto la centigrade 100 akabaki salama?
Ikulu ipo kila mkoa kaka kila wilaya, we unahis rais akienda wilayani analala guesthouse auJokaKuu,
Unajua maana ya Ikulu wewe? au umekariri tu....
Ushahid wake nahisi utakua ni yule MTU aliekufa pale mtaa Wa lumumbaUna ushahidi gani kwa hayo unayoyaongea aisee...?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hata kama mods wataufuta huu Uzi kwa ubabe au kwa kukusikiliza lakn,ninawaambia ukweli dar wagonjwa ni wengi na vifo ni vingi, Mimi Niko sekta ya afya niaminini niyasemayo,dar wengi ni wagonjwa na hawajijui.
Sent using Jamii Forums mobile app