Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Unaweza eleza kwanini Huko USA ambako daily tunasikia idadi kubwa ya vifo wanaandamana kupinga lockdown na kuna hadi wazee?Kwamba hawa hawaoni wenzao wanavyopukutika?

Senti bai yuzingi tecno T301
Wamechanganyikiwa kama wengi tu hata viongozi wetu.
 
Morgan mg 14,
Katikati ya mapambano unaita jitihada za wenzio upuuzi mtupu hadharani? Halafu unataka mshikamano ktk mapambano?
Ikiwa waliofanya hata hawakujua kama itasaidia au walijua haiwezi kusaidia na wakafanya, bas hapana Shaka kwamb
"Jitihada hizo ni ujinga" hivyo upuzi tu,

Mfano- uko na mwanao anasoma secondary kitado cha 6, umemnunulia vitabu na kumuasa kusoma ili afaulu mitihani yake, badala ya kusoma vitabu hivyo kuelewa vema ili aweze faulu vema mtihani yeye anapita shortcut "anachemsha vitabu na kunywa maji yake ili maandishi yakae kichwani" bila shaka utatumia neno baya Sana kuelezea ni kwakias gan ni mjinga mno.

Ndio hivyo RAISI alivyokosa neno sahihi kwa akili ndogo kwa viongoz kwa kias hicho
 
Chlorine is a powerful disinfectant that can kill most bacteria, viruses, and parasites when it is added to water.

If you want to use a chlorine product, make sure that you use the right concentration and give the chlorine enough time to take effect to ensure that all germs will be killed.
 
Ni kweli chlorine haina uwezo wa kuua virus? Na hapa mtaalamu anatuambia hivi:
"Chlorine-based disinfectants are very effective against a wide range of viruses and bacteria, and under the right conditions even parasites," says Mary Ostrowski, senior director of chlorine issues at the American Chemistry Council.
Bora unayaelewa haya mambo mkuu.. yawezekana ni kwel inaua various viruses lkn sio corona lbd. Ndio maana yeye alisema km ingekua ni hakika corona anauliwa na fumigation bas asingekuepo kbsa dunian kwasababu U.S Italy Spain wasingeshindwa kuzimwagilia nchi zao. Hata ww unajua hilo wasingeshindwa wao arafu sisi tuwez kwenye hilo.

Pia yawezekn yy na team yake waliona fumigation ya Tz badala ya kuzuia kupunguza ama kutokomeza badala yake ndio wamespeed up zaid viruses.
 
Kujifukizia alikokuja nako Kama soluhisho kumekuwa tested wapi kwamba ni kinga ya corona? Je mtu anaweza akajifukiza kwa joto la centigrade 100 akabaki salama?
Sorry mkuu, kujifukiza ni njia iliyothibitishwa toka zamani japo wazungu kwao huwa hawaitumii sana sijui niseme kabisa tu ili tuelewane, lkn kujifukiza ni njia sahihi ya kumuua na kumdhoofisha virus yyt yule mwilin hata ukiwa na mafua unashauliwa kunywa na kula vyakula moto sana na sio baridi.

Kingine mkuu, sio uwe kwenye joto la 100% c, hapa ila kujifukiza ile vapour yake ndio hutoka na kuwa na joto kubwa hivyo lkn sio binadam uwe ndani ya chungu kbsa No.

kujifukiza kunafanyika sana, hasa kwa watu wanaojua tiba asilia. Mimi pia nimewahi kujifukiza na ndiye naandika hapa hivyo huwez kufa kwan ingekua hivyo basi nisingekua nachangia mada hapa
 
Morgan mg 14,
Kote huko hizo hatua zimechukuliwa za kupulizia dawa ili kupunguza maeneo ambayo mtu atajikuta anapata maambukizi kama subways, vituo vya mabasi treni nk. Mfano New York kila baada ya siku tatu wanapuliza kwa kuwa bado watu wanatumia public transport.
 
Morgan mg 14,
Mkuu mbona unanifanya nikuonee aibu,kwa akili yako kudhibitishwa maana yake lazima itumiwe na wazungu? Unajua TBS na TFDA kazi zao Nini?unajua MUHAS pamoja na kufundisha kazi yao nyingine ni utafiti?

Sasa kujifukizia imetestiwa na nani hata hapa bongo? Je kuna hospitalini yoyote hapa bongo inatoa matibabu ya kujifukizia?au unataka kusema madaktari wetu wote Ni wazungu?au jamaa yako anataka na sisi tuwe washirikina Kama yeye?
 
Morgan mg 14,
Kujifukizia hakuui virus wa ukimwi? Au virus wa ukimwi ni wa aina tofauti na ndo maana wanaendaga India kubadilisha damu.
 
Tigershark, Inatakiwa ujue Ndugulile ni Dr so hawez kuongea nje ya taaluma. Ni kosa kwa daktari kushauri watu watumie miti shamba. So usishangae naye Ndugulile anajivukiza kama kawaida. Kingine Mkuu Rais yupo chato ambayo ni Tanzania. Ungekua na logic ungesema kaenda Ulaya.

Kuwa Rais Chato sio point ya kusema Corona ipo na ni HATARI coz Dar bado watu wanaishi tena maisha ya hatari sana Ungekua wa maana kama Ungekua unakuja na hoja za mimi, mke wangu, mtoto wangu,mama au Baba walikua wazima tu lkn now wako hospital wanateseka sana na corona. Kama Nawewe una story za KUSIKIA AU KUAMBIWA basi ni moja ya VILAZA wa Taifa hili mnaosambaza na kutoa taarifa za HOFU kwa KUSIKIA AU KUAMBIWA.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Habari,

Niwaombe chama cha upinzani Tanzania,tafuteni mbinu ya kushinikiza serikali kufunga mkoa wa dar hata kama tumeshachelewa.
Maambukizi ni makubwa mno na watu wanakufa wengi,Magufuli hapendezwi na wananchi wake kuishi,ameamua kutowajali.
Nasema na ninasisitiza hali ni mbaya,wa tu wengi dar wanaumwa na hawamjui wanaambukizana tu,fanyeni jambo maana watu wengi watapoteza maisha.

Swelana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom