Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

UTABIRI WANGU: tamko la lockdown litatoka muda siyo mrefu.
 
Yani toka Saa 9:45 hadi Saa 10:30 Uzi uko page ya 7,hakuna update yoyote, wala haijulikani Rais anaongea nini.... Kweli Bongo Nyoso
 
Chato tunapishana napo muda kidogo, kuwa na subra
 
Atakaaje Ikulu wakati Dar, Dodoma kuna Corona? Kwani yeye hapendi kuishi? ...………...May be ndio 'Working from home' yake hiyo…………...
 
Nashauri hii point itumike kwenye uchaguzi, itawapa wapinzani kura nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…