Kabinti ka ludilo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 409
- 468
Aliyesema UTV anaonesha kweli au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna siku utamtaka mke wake naye awe na NGO kama first ladies waliopita, au mtoto wake pia agombee ubunge kama Riz.
"Kila kitabu na zama zake"
Mbona ilishaanzwa kurushwa!
Huyo unayemsema simjui na nchi yake siijui. Mimi namzungumzia Mobutu na unafki wetu.Jiwe kafanya kosa gan
Nashauri hii point itunike kwenye uchaguzi, itawapa wapinzani kura nyingi sana.
Sawa kamanda...siyo kila jambo lihusishwe na uchaguzi au itikadi za vyama.
mmeambiwa mchape kazi.
Kweli wewe bangi (Cannabis)🤣🤣🤣🤣Chato tunapishana napo muda kidogo, kuwa na subra
Haa ha ha, haya bhanaSi ushasema alikuwa kwenye matibabu
Huyu tumemuona chato akinnua dagaa na kufokea wanakijiji
Nimecheka,mimi nilijua atakusanya kamati ya afya. Sasa wanajeshi na Coronavirus wapi na wapi ?anasema anavipongeza vyombo kwa kulinda mipaka wakati huu wa corona. Kwani corona ina jet fighters?