Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Azam tv ile live coverage wamefuta! Kweli tupo serious [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Technology imefanya mambo yawe rahisi. Marais wote walizungumza popote pale nchini hata wakiwa ziarani, maadam technology iliyokuwepo ili-facilitate kuwasiliana na Watanzania...Chato ni kijijini kwa Magufuli.
..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.
..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.
..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.
..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.
..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
😀 😀 😀 😀Badala ya kuwalaumu, tungewashauri tibisii kuajiri mafundi kama wale wanaorusha matangazo kutokea kwenye mbuga za wanyama maana labda hawakutarajia kuna siku watatakiwa kuusha matangazo kutokea maporini kama leo
Nimecheka,mimi nilijua atakusanya kamati ya afya. Sasa wanajeshi na Coronavirus wapi na wapi ?
Chato anafanya nini?Technology imefanya mambo yawe rahisi. Marais wote walizungumza popote pale nchini hata wakiwa ziarani, maadam technology iliyokuwepo ili-facilitate kuwasiliana na Watanzania.
Kama Rais anafanya kazi akiwa Chato, sio ajabu kuzungumza na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na Watanzania kujua pia ana ujumbe gani.
Rais wa Marekani akiwa kwenye popote including kwenye airforce one, technology inamsadie kuratibu mambo yote ya kiutawala.
Mzee Sitta akiwa Spika alijenga ofisi ya Spika Urambo, ina maana muda Spika Sitta akiwa ofisini Urambo, facility za ofisi yake ilimsaidie a-function sawa na akiwa Dodoma au Dar
Hawezi kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa ukiwa Kishimundu, usitufanye watanzania wote hamnazo.Kuna athari kubwa sana kwa mtu akijijengea fikira ya kupinga kila kitu,hebu fikiria kidogo makao makuu ya umoja wa mataifa yako Marekani,unataka kuniambia katibu mkuu wa umoja wa mataifa akitaka kutoa hotuba hadi aende Marekani,hawezi kuwa Tanzania na bado akahutubia mataifa yote?
Chato ni Tanzania,tupunguzeni manunguniko yasiyo tija
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha chuki zako kwanini unaumia?kwani hataeleweka? Mbona maamuzi Chadema yanafanyikia Tengeru?..Chato ni kijijini kwa Magufuli.
..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.
..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.
..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.
..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.
..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Unafik upi huoHuyo unayemsema simjui na nchi yake siijui. Mimi namzungumzia Mobutu na unafki wetu.
Odhis *
tuwavumilie tu kwanza mafundi mitambo wote wa tbc wako karantini hao ambao awanafanya kazi leo ni vibaruaTbc hopeless..
Yaani ni aibu Rais wa nchi ana hutubia mawasiliano yana katika. Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwe tunafikiri kabla ya kuongea"Navipongeza vyombo vya dola kwa kulinda nchi wakati huu wa Corona. Vinafanya kazi nzyri"
Nadhani hapa wanapongezwa kwa kumdhibiti Mbowe leo.
"Naomba tuendelee kuchukua tahadhari. Corona ipo ni hatari na inaua"
Leo kaugonjwa kamekuwa hatari.
Mwisho wa hotuba!
Technology imefanya mambo yawe rahisi. Marais wote walizungumza popote pale nchini hata wakiwa ziarani, maadam technology iliyokuwepo ili-facilitate kuwasiliana na Watanzania.
Kama Rais anafanya kazi akiwa Chato, sio ajabu kuzungumza na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na Watanzania kujua pia ana ujumbe gani.
Rais wa Marekani akiwa kwenye popote including kwenye airforce one, technology inamsadie kuratibu mambo yote ya kiutawala.
Mzee Sitta akiwa Spika alijenga ofisi ya Spika Urambo, ina maana muda Spika Sitta akiwa ofisini Urambo, facility za ofisi yake ilimsaidie a-function sawa na akiwa Dodoma au Dar
Chato sebuleni kwa mkuu network inasumbua mitambo imekata.Acha chuki zako kwanini unaumia?kwani hataeleweka? Mbona maamuzi Chadema yanafanyikia Tengeru?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema wanaongoza hii nchi?,Acha chuki zako kwanini unaumia?kwani hataeleweka? Mbona maamuzi Chadema yanafanyikia Tengeru?
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ushasema alikuwa kwenye matibabu
Huyu tumemuona chato akinnua dagaa na kufokea wanakijiji
Hivi waliojenga ikulu walikuwa wanafikiri kuna siku tutakuwa na rais asiye na kwao?Kituo cha kazi cha Magufuli ni Dar na Dodoma hiyo ya kufanyia kazi huko chato ni kukosea heshima waajiri waajiri wakeKuna athari kubwa sana kwa mtu akijijengea fikira ya kupinga kila kitu,hebu fikiria kidogo makao makuu ya umoja wa mataifa yako Marekani,unataka kuniambia katibu mkuu wa umoja wa mataifa akitaka kutoa hotuba hadi aende Marekani,hawezi kuwa Tanzania na bado akahutubia mataifa yote?
Chato ni Tanzania,tupunguzeni manunguniko yasiyo tija
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe Naibu Chadema inafanana na taasisi ya Rais!!Acha chuki zako kwanini unaumia?kwani hataeleweka? Mbona maamuzi Chadema yanafanyikia Tengeru?
Sent using Jamii Forums mobile app