Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

TBC hovyo Kabisa sijajuta kuacha kuiangalia sasa miaka 7 bila TBC Ndani kwangu. Ni huku ma bar naangalia bado ni hovyo kabisa! Ni aibu Television ya Taifa kuwa ya hovyo namna hii. Aibu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hii kauli we unaonaje?
Kwahiyo una maanisha huyu hakufikiri ? Ngoja waje wenyewe
Screenshot_20200422-171553_Twitter.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha kwakuwa nibora mtz umsikilize rais wa Uganda, Kenya au hata Trump!! Wao wanakaa ofisini hawaendi cha likizo/mapumziko au mambo binafsi vijijini mwao... Wanawatia moyo madaktari na manesi,wanahangaikia vifaa vya tiba, wanahimiza ubunifu kama ule wa Rwanda na machine za kupumulia,wanatoa direction ya uchumi,wanaenda globally kupigania wananchi wao na huo ndiyo uongozi sasa!!
Wakitaka kuongea tafadhali tujuzane hawa wengine wengine toka vijijini mwao waache wawashtue polisi wawadhibiti wananchi...
 
Back
Top Bottom