SheriaE
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 606
- 447
MnafikiMafundi mitambo wa tbc wale cream yenyewe watakuwa Quarantaine. Maana mitambo haipo sawa. Matangazo yamekatika ghafla.
Ndio anaongea sahvi TBC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MnafikiMafundi mitambo wa tbc wale cream yenyewe watakuwa Quarantaine. Maana mitambo haipo sawa. Matangazo yamekatika ghafla.
HahahahahahOut of topic: Baada ya TBC kuzingua, naangalia Clouds TV, kuna mtangazaji anasema tunaweza kukata TShirt kutengeza barakoa, ili mradi tu iwe ni kitambaa cha katani (ambayo ameiita cotton kwa kiingereza).
Swali: Katani ndiyo Cotton?
Cotton ni pamba mkuu,hiyo TV hakuna "weledi" na wala hawajitambui,huwa nikiwa huko nyumbani Tz nawakataza familia kuiangalia.Out of topic: Baada ya TBC kuzingua, naangalia Clouds TV, kuna mtangazaji anasema tunaweza kukata TShirt kutengeza barakoa, ili mradi tu iwe ni kitambaa cha katani (ambayo ameiita cotton kwa kiingereza).
Swali: Katani ndiyo Cotton?
Kama unaowaongoza wajinga? Acha Mzee atuendeshe anavyojisikia, ndo hatuna namna, wengine tuko makazini, na aliyetuambia tuwe makazini yeye kajifungia kwake.... So sadUnaongozaje nchi kutokea nyumbani kwako???!!! Really???!! Nchi ya watu milioni 55?! Kweli?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Cotton ni pamba mkuu,hiyo TV hakuna "weledi" na wala hawajitambui,huwa nikiwa huko nyumbani Tz nawakataza familia kuiangalia.
Alisema ni kaugonjwa kadogo tu. Umekua hatari tena ?
Ila huwa inachanganyaga hiyo mkuu usimlaumu. Sisal na cottonHahahahahah
Senti bai yuzingi tecno T301
Ila huwa inachanganyaga hiyo mkuu usimlaumu. Sisal,curtain na cotton
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani mimi nimepotea kumbe na mwenzangu umeiona!Nimecheka,mimi nilijua atakusanya kamati ya afya. Sasa wanajeshi na Coronavirus wapi na wapi ?