Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Jamaa muoga sana.......Kuzungumza na wananchi kuhusu Corona unatumia vyombo vya ulinzi? Amenirudisha kwenye korosho badala ya kutumia principles za uchumi kufanya deals na wafanyabiashara yeye anaita jeshi eti washughulikie uchumi....CHEAP....
Leo suala la afya vyombo vya ulinzi vinalinda nini?
NCHI IMEKOSA UONGOZI
Mkuu umegonga kichwani kabisa. Jamaa hajui hata anachokifanya, tumekwisha kama nchi.