Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Jiwe kwa mara ya kwanza nakuunga mkono lockdown ni upumbavu wa kiwango cha lami na ungeipga nchi lockdown ungepinduliwa asubuhi na mapema kabla ya mwezi july
 
Ilikua ni swala la muda tu mkuu. Hata wasiposema, Tv pekee pendwa ni TBC..
ningekuwa rais au waziri pale TBC ningeweka vijana asilimia 95
pia ile channel ya utalii ningeweka vijana na kabla hawajaanza kazi ningewaweka mafunzoni miezi 3 watazame NATIONAL GEOGRAPHIC na DISCOVERY CHANNEL tu ili wajue namna ya kuongoza vipindi kama vile ,wizara ya Kigwangala ina mambo mengi sana sio wanyama tu hamis Kigwangala. kwa kifupi ile channel bado wapo nyuma sana
 
Back
Top Bottom