Inasikitisha kwakuwa nibora mtz umsikilize rais wa Uganda, Kenya au hata Trump!! Wao wanakaa ofisini hawaendi cha likizo/mapumziko au mambo binafsi vijijini mwao... Wanawatia moyo madaktari na manesi,wanahangaikia vifaa vya tiba, wanahimiza ubunifu kama ule wa Rwanda na machine za kupumulia,wanatoa direction ya uchumi,wanaenda globally kupigania wananchi wao na huo ndiyo uongozi sasa!!
Wakitaka kuongea tafadhali tujuzane hawa wengine wengine toka vijijini mwao waache wawashtue polisi wawadhibiti wananchi...