What? fumigation?Magufuli: Dar es Salaam hakuna lockdown, never.
Magufuli: Na Rais anasema inawezekana corona imeletwa na fumigation iliyofanywa.
Nani alisimamia hiyo fumigation?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What? fumigation?Magufuli: Dar es Salaam hakuna lockdown, never.
Magufuli: Na Rais anasema inawezekana corona imeletwa na fumigation iliyofanywa.
Nani alisimamia hiyo fumigation?
Jumla wamekufa wangapi TBC?Tokea Joseph afariki siku 14 sidhani kama zimekwisha.
What? fumigation?
Usilolijua ni kama usiku Wa Gizaamewapongeza tu maaskari wetu kwa kutulinda kipindi hiki na kawapongeza madaktari wetu pia..
Hongera rais ,asije tu hakatangaza Makao makuu yameamia Geita .Dodoma tu katukomesha sasa hii Corona ikiendelea miezi mingine viwili paaap tunahamia ChatoWatu naona wana chuki tu na raisi wetu wengi hawajui rais anaweza kuhutubia taifa hata akiwa mkoa wowote wa tanzania na mahali popote tanzania mfano kila mkoa kuna ikulu ya rais
Sent using Jamii Forums mobile app
I can imagine mkuuMkuu kwake corona ni sawa na Chadema kwa
How? Kwahiyo walikuwa na virus wanaipuliza kutoka kwenye bomba zao?Yes, anasema inawezekana ile fumigation iliyofanywa Dar ndiyo imeongeza idadi kuwa kubwa.
Safi sana sana..laana ya kumzuia mwenyekiti wa cdm asizungumze na vyombo vya habari.
..sasa mwenyekiti wa chama chenu naye shughuli yake imepata mushkel.
Sasa ile si ilifanywa na kijana wake mpenzi kabisaYes, anasema inawezekana ile fumigation iliyofanywa Dar ndiyo imeongeza idadi kuwa kubwa.
Utv wako live mbona long timeRudini TBC wamerudi tena.
Amesema siyo kununua barakoa kila nchi kuna barakoa zingine zinakuja na corona.
Amesema kuna watu wanataka Dar iwe lockdown "never haifungwi ni senta ya kila kitu
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Mzee anasema Dar es Salaam haiwezi kuwa lockdown kwa sababu uchumi wa nchi unategemea revenues by 80 percent.Rudini TBC wamerudi tena.