Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiweno ndugu zako?Waliokufa kwa corona ni wengi zaidi ya hao
Wanafia majumbani au hospitali? maana kuna nimekuta anamwambia mwenzie et wameshazika watu sita waliyokufa kwa corona buguruni hapo.Waliokufa kwa corona ni wengi zaidi ya hao
yeye ndiye ana wanausamama, hawa wa wizara wanatisha watu takwimu hazizi kuwa sahihiMkuu hizo takwimu ni kwa mujibu wa vizara ya afya,kiongozi wa malaika mtarajiwa anasema waliopona ni zaidi ya 100 kutoka vyanzo vyake vingine nje ya wizara ya afya
Subiri waje wamfurahishe.Hata kama anawachukia mabeberu hakutakiwa kuwaonyesha waziwazi kwenye hotuba zake.
Kiuhalisia Raisi wetu Hana lugha ya kidiplomasia, yeye anaenda mzimamzima tu.
Duh...!. Mabeberu buana!.Moja Nchi 25 zilizopewa mkopo kuokoa uchumi usianguke Kutokana na Janga la Corona Tanzania imenyimwa.Pili nchi 27 zilizosamehewa Madeni Kutokana na Corona Tanzania haimo.Sasa mabeberu...
Umeandika huku unatetemeka?yeye ndiye ana wanausamama, hawa wa wizara wanatisha watu takwimu hazizi kuwa sahihi