Kivipi mkuuKuna mtu humu naona anaamua kuleta live.
Ameagiza fuko lake la pesa
magufuli sasa hivi akiongea hotuba zake zinasambaa mpaka ulaya na amerika inakuwa ni gumzo.dunia nzima inatamani kusikia hotuba zake nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hata mi nimeshangaa aiceee kuna kitu!Kwa mara ya kwanza leo kamsifia askofu shoo
We angalia,yani anapost kila anachosikia,Ukiangalia utamuoana yeye tu,halafu tazama sura yake,utajua tu yupo upande gani.Kivipi mkuu