Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Kuna nini mkuu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini mkuu..
alafu anavyoongea aoni aibu maneno yake yanapishana na matendo yake ?inashangaza
Kaenda kugawa pesa kanisa meno nje vigelegele Kama vyote
akifa mtu wako wa karibu utaelewa somo, usimsifie mtu ambaye yeye mwenyewe kajificha mkoani huko, ogopa sanaNikisikiliza kutoka Chato namuona mhe Magufuli akiwa imara zaidi.
Juzi nilitoa mada yenye kichwa chake "CORONA:SHULE VYUO VINAWEZA KUFUNGULIWA" ingawa mod wameunganisha na uzi mwingine... leo namsikia Mhe Magufuli akishindilia hoja kwamba soon ataruhusu shule na vyuo vifunguliwe [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Tusitishane...wale wa kupingapinga endeleeni sisi tunachapa kazi.
Kumbuka Mungu ndiye mlinzi wa maisha yako
Kwani kuna shida mkuu? Wengi tunapata updates kupitia huu uzi.. binafsi siko karibu na TV wala redio.We angalia,yani anapost kila anachosikia,Ukiangalia utamuoana yeye tu,halafu tazama sura yake,utajua tu yupo upande gani.
umeona pesa iyo tumesha saini M11 chapKuna nini mkuu..
alafu anavyoongea aoni aibu maneno yake yanapishana na matendo yake ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima amsifie maana askofu wa jimbo lake kapiga pin ibada [emoji23]Kwa mara ya kwanza leo kamsifia askofu shoo
Aibu inaumbo gani kwako Wewe mwenye uwezo wa kuona aibu?Tutarajie kuona aibu atakachoropoka.
MONEY STOP NONSENSE
Amesema Mungu amejibu maombi baada ya maombi ya Siku Tatu!Leo ngoja tukae makini anaweza kutangaza kuisha kwa corona duniani tuzidi kuchapa kazi hamna namna tena
Sent from my iPhone using JamiiForums
kimbe bible ipo kichwan bana CCM hoyeeee😆😆😆Jamaa amekuwa mchungaji wa mahubiri.