Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

"mwanangu amejifukiza natangzawizi na limao na amepona anapiga na pushup" nilijua jeneth sasa kusikia neno pushup nikastuka
 
Unaweza kutuwekea vipimo vya daktari hapa ambavyo kigogo kakuonesha kwamba huyo uliyemtaja ana corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awaasa wahumini waendelee kuchukua hatua za kujikinga na ugonjwa huu lakini pia amesifia kuona waumini woote kanisani hakuna hata mmoja alivevaa barakoha...Aiseee...Ehh Mungu wangu
Hahah
 


Hawa wanaopona wanapimwa wapi mashine si zinafanyiwa uchunguz[emoji45]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka usikalili ulimwengu umebadilika sana.
rais wa nchi yeyote anaweza toa hotuba kwa lugha yake na ulimwengu ukajua na ukajadili.
usijifungie tafuta vyanzo vya taarifa ujue mambo.hatuba ya magufuli imesifiwa ulimwengu mzima.amini nachokwambia kaka yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua hii hotuba imekuuma sana,!
Taratibu utaelewa tu, hata darasanai kuna wanafunzi huwa inachukua muda kuelewa.

Viva JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuelewa kama mtu aliye na matatizo ya akili na nitasimamia hilo. Nimeshasema hata nyie vimagufuli vidogo sipotezi tena muda na nyie na hii kwako ni reply yangu ya mwisho.
 
Hizi zote ni kelele tu Mimi nitawaelewa nakukubali haya maneno pale tu shule zitakapofunguliwa. Watoto wamekaa mitaani wanazurua kiwango cha elimu kinashuka
 
Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuuona ugonjwa wa korona kama hauna madhara makubwa kwa afya ya watu wetu. Unapo relax kwa ghafla jitihada za kujikinga na ugonjwa wa kuambukiza kama korona ambao kila mtu anajua namna unavyoambukiza mamilioni ya watu duniani, kusababisha ugonjwa na vifo kwa maelfu ya watu na kusababisha kuzidiwa kwa huduma za afya kuweza kuhudumia wagonjwa, inaweza isiwe njia nzuri. Kuondoa kwa pupa tahadhari za kujikinga na korona inaweza isiwe njia sahahi kwa sasa, hata kama tumeamua kuendelea na shughuli za kiuchumi na kijamii.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…