Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

W Kama hauamini idadi ya wagonjwa waliobaki kwenye hospitali mbalimbali si uende huko mloganzila ukajionee! haukatazwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazitaka takwimu za COVID 19 leo za nini? Kama unafanya utafiti pata research clearance kwa mamlaka zinazohusika na utapewa hizo takwimu maana lazima zipo!! Kuna utaratibu wa wizara kutunza takwimu!! Lakini kama unazitaka kwa ajili ya ubuyu pole!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanasheria na mawakili walikuwa hawafi ila wameanza kufa kwa corona tu! It does not make any sense!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujiachie tuu mitaani tuipate Corona tujitibu kwa malimao na mvuke, yaani hii ni nadharia ya kipumbavu kabisa kumbuka wenye umri ulioenda na wenye matatizo mengine/ magonjwa ya kisunna Chance yao ya ku-survive Covid 19 ni ndogo sana ukili walinganisha na huyo kijana wake, kwa maana nyingine tumewahukumu kiffo!
 
Ni vizuri kuficha takwimu zetu
 
Kama walivyosema wameenda kutuletea dawa, ila baada ya kelele nyingi mitandaoni kuhoji usalama wa dawa husika, baadae tukaambiwa kwanza itafanyiwa uchunguzi kabla ya kuanza kutumika.

Kwa msingi huo huo,hata swala la vyuo kufunguliwa au kutofunguliwa wiki ijayo,binafsi naamini itategemea zaidi jinsi wazo hilo litakavyopokelewa katika jamii yetu kupitia maoni kwa njia ya mitandao.

Time will tell.
 
Haushangai kenya wanatangaza watanzania madreva wenye COVID 19 lakini hawatangazi wakenya wangapi wamepata maambukizi mapya ndani ya masaa 24? Ingia kwenye internet - Worldometer uone wana wagonjwa wapya wengi zaidi ya hao kwa mbali Kenya wana wagonjwa wapya 49 kwa siku ya jana tu! Ni sawa na kumwona mwenye boriti kwenye jicho lake halafu anamcheka mwenye kibanzi jichoni, haushtuki? Unaruhusiwa kwenda kwenye hospitali ukajionee hali halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo jema pia!
 
Sishauri vyuo kufunguliwa sasa hivi, wasubiri walau tarehe 1 mwezi wa 7.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…