Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hauamini idadi ya wagonjwa waliobaki kwenye hospitali mbalimbali si uende huko mloganzila ukajionee! haukatazwi.Takwimu za TB,HIV za nini wakati hayo magonjwa yashathibitiwa? Tunataka kujua issue za korona mkuu kwasasa tuna wagonjwa wangapi tuweke wazi kama USA!! mambo ya kusema mloganzira sijui kuna wagonjwa 6 wengine wamepona ni kutuchukulia poa waTZ na kutuona "MAZWAZWA".
Kasema kuwa hawezi kuongea uwongo kwani yuko madhabahuniMlisikiliza? Nilikua namlisha mtoto namsaidia Mama yake ila pale kwenye idadi ukimjulisha kama vile zinagoma
Jibariki mwenyewe utakufa njaa
Labda wewe sio MimiJibariki mwenyewe utakufa njaa
Unazitaka takwimu za COVID 19 leo za nini? Kama unafanya utafiti pata research clearance kwa mamlaka zinazohusika na utapewa hizo takwimu maana lazima zipo!! Kuna utaratibu wa wizara kutunza takwimu!! Lakini kama unazitaka kwa ajili ya ubuyu pole!!Tutakesha hapa.Mada iloyopo mezani ni COVID.
Tunazungumzia Covid unaleta mambo ya kifua kikuu na Tauni.
Talwimu zinasaidia ni
1.Vipimo vingapi vimefanyika?
2.Wangapi wamekutwa na maambukizi?
3.Wangapi wamefariki?
4.Wangapi wamepona?
Ukipata takwimi hizo unaweza kufanya tathmini ya mkakati wako wa udhibiti.
Takwiimu ya wangapi wameeruhusiwa haina tija kwa maana 80% ya wagonjwa hupona bila ya tiba yoyote.
Kutotoa takwimu au kutoa takwimu batili kunafanya watu wapuuzie kuchukua tahadhari.
Ugonjwa ukiendelea kusambaa watakaoumia ni wazee wetu na wagonjwa wetu wa magonjwa sugu.
Hao wanasheria na mawakili walikuwa hawafi ila wameanza kufa kwa corona tu! It does not make any sense!Acha uzwazwa watu wanaenda kwa takwimu mkuu ndio maana tunaweza kuproject 20250 TZ kutakuwa na watu wangapi kwa kufata mahesabu ya takwimu na kucheza na rate.
Linganisha mwaka jana kuanzia January mpaka may walikufa watu wangapi na kisha linganisha mwaka huu jan-may 2020 wamekufa wangapi kisha njoo na tantalila zako.
Ndani ya mwezi mmoja wamekatika mawakili/wanasheria kama 15 hivi halafu unasema ni kawaida,je mwaka jana wanasheria wangapi walifariki? Leta takwimu za mwaka jana mie najua za mwaka huu wanasheria/mawakili 15 wamekatika.
Ni vizuri kuficha takwimu zetuUnazitaka takwimu za COVID 19 leo za nini? Kama unafanya utafiti pata research clearance kwa mamlaka zinazohusika na utapewa hizo takwimu maana lazima zipo!! Kuna utaratibu wa wizara kutunza takwimu!! Lakini kama unazitaka kwa ajili ya ubuyu pole!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haushangai kenya wanatangaza watanzania madreva wenye COVID 19 lakini hawatangazi wakenya wangapi wamepata maambukizi mapya ndani ya masaa 24? Ingia kwenye internet - Worldometer uone wana wagonjwa wapya wengi zaidi ya hao kwa mbali Kenya wana wagonjwa wapya 49 kwa siku ya jana tu! Ni sawa na kumwona mwenye boriti kwenye jicho lake halafu anamcheka mwenye kibanzi jichoni, haushtuki? Unaruhusiwa kwenda kwenye hospitali ukajionee hali halisi.Tunataka
Tunataka data kwa sababu ndio kitu pekee tunachoweza kuamini
Just in
Saivi saa kumi jioni naona breaking news hapa citizen TV kwamba kuna cases mpya za 12 Truck drives from TZ Sasa jiulize hawa huo ugonjwa wameupatia wapi kama sio huku TZ
That's why tunataka takwimu we can't rely on what a politician says
Ni jambo jema pia!Kama walivyosema wameenda kutuletea dawa, ila baada ya kelele nyingi mitandaoni kuhoji usalama wa dawa husika, baadae tukaambiwa kwanza itafanyiwa uchunguzi kabla ya kuanza kutumika.
Kwa msingi huo huo,hata swala la vyuo kufunguliwa au kutofunguliwa wiki ijayo,binafsi naamini itategemea zaidi jinsi wazo hilo litakavyopokelewa katika jamii yetu kupitia maoni kwa njia ya mitandao.
Time will tell.