Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Kwa taarifa hiii, Naacha kuvaa Barakoa Muda wote, na sasa nitasalimia watu kwa kuwashika mikono kama kawaida , na pia nitajichanganya kwenye mikusanyiko ya watu kama kawaida.
Magufuli was Right ,na alikuwa na Point japo hakujuwa jinsi ya ku express idea yake kwa jamii na inaonesha hawa jamaa ,Wazungu wana ajenda kubwa kwa watu duniani ii kupitisha huo mpango wao wa chanjo.

UJINGA WETU UTATUMALIZA KWA VITISHO VYA WATU WAOVU
JINSI WALIVYO TUKAMIA KUTUMALIZA.
MUNGU TUSAIDIE
 
Kweli haina maana kufunga shule na vyuo wakati shughuli zingine zinaendelea kama kawaida.

Na yeye atoke arudi ikulu kufanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichomtoa dar ni nini?...…….. Si angewezakuwa anatuhutubia kutoka chumbani kwake Dar? ……………..
 

Mimi nilivyoelewa kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa virusi hivi vipo na vili'chachushwa' kwenye maabara...….. sio kuwa havipo na ni kweli watu wanaugua ila kwa habari ya chanjo………. chanjo ni njia ya kueneza Zaidi virusi hivyo hususani kwa nchi hizi za kwetu. So virus vipo...…………...…….
 
Basi wewe endelea kuomboleza hivyo vifo na huyo kigogo tuache sisi tuchape kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana. lakini IMEANDIKWA 2 Timotheo 4:3-4 Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti; nao watajiepusha wasisikie yalio kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo. Amen
 
Watunzi wa hadithi wanazidi kuwa wengi sana ili kujaribu kunogesha mapambio yaliyochacha, kuchoka na kuchosha.
 
Kilichomtoa dar ni nini?...…….. Si angewezakuwa anatuhutubia kutoka chumbani kwake Dar? ……………..
Wewe unaona ni sahihi kiongozi kufanyia kazi getoni kwake ?

Kwani hapo mm nimetaja Dar ?
 
Reactions: Mj1
Bwana Magufuli wewe ni kiongozi wa mfano
Unatizama mbali na wala hupelekeshwi na mihemuko ya watu wachache
Nakupongeza kwa mapambano yako kuukomesha utumwa wa kifikra pamoja na kutokumbatia njama za ukoloni mamboleo.
Pongezi zako zikufikie kwa kutangaza kufungua kandanda na vyuo ili vijana wetu wasome na taifa lipate wataalam
Kweli maamuzi yako ya kufungua vyuo wiki ijayo yamepokelewa na dhati kubwa na watanzania wengi wenye maono kama wewe mheshimiwa Raised
Leo nimekuwa mwanaCCM kwasababu ya akili yako kubwa.
 
Aibu naona mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa,

Sema Magufuli Baba Lao,

Makonda Baba Lao,

Siku Akitoka Dodoma Usisahau Kukusanya Mkeo, Baba Yako, Mama Yako Mkamwimbie Na Kumsifu Malaika Mkuu.

"Baaaaba Baaaba, Baba Huyooo" Huku Mkirukaruka Juu
 
So what! Kwa hiyo ukiwa mwanachama wa hiyo Ccm Corona itaisha? Mbona hakuna uhusiano unaojitosheleza kati ya kumpongeza Rais kwa hotuba yake, na huko kujiunga na Ccm?

Wewe jiunge tu na hiyo ccm maana ni haki yako kikatiba! Ila usitoe visingizio visivyo na tija.
 
Ni sawa, mbona Makonda alimsema mtoto wa Mbowe....Vipi kuhusu huyo wa Magufuli mbona hakupelekwa kwenye vituo vya isolation kama wengine? Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu ni uchungu. Acheni double standard, tendeni haki ninyi watu.
Duh! Aisee hizi lawama zengine.
 
Hahaha sarcasm hizi unatakiwa usome kutoka chini unaenda just, na kuanzia kulia unarudi kushoto ndio utaelewa.
 
Wakazawadiwa kwa kufanikisha maigizo
 
Wewe unaona ni sahihi kiongozi kufanyia kazi getoni kwake ?

Kwani hapo mm nimetaja Dar ?

Mkuu hujanielewa mimi niko sambamba na ulichokisema nimekazia uzi tu.……………. akili yake anaijua yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…