Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Sidhani kama anaijua RADHA YA CONDOM huyu mtu!Magufuli pindi yuko njaini kuja Dodoma akiwa mkoani Singida alisema anafurahi haoni waliovaa barakoa, na kisema hata yeye havai na mkuu wa mkoa na walio katika msafara hawavai ni kuonyesha hatuogopi corona.
Leo tena dodoma naona ana discourage uvaaji wa barakoa kama njia ya kujikinga na maambukizi ya corona.
Naomba kufahamu anaoosema watu wachukue tahadhari ni tahadhari ipi ya kujikinga na corona ambayo magufuli anahamasisha raia wa nchi hii?
Yaan Mzungu atoke huko. Aaache kwenda serengeti aje angaalie watu wanapiga nyugu.. like seriously.? Realy?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatucopy mkuu, kila nchi ina njia ya kudeal na hii CoronaSuala sio kufungua shule na vyuo je mmejindaa? Angalieni wenzenu waliojiaandaa wanaojali maisha ya watu.View attachment 1455907
Wamekunywa CVO.Duuh hamna aliyeváa Barakoa hata mmoja. Hii ni hatari sana aisee
Na hiyo ndo dona kantre; mwendo wa kupiga vinyundo hadi wakome.Na mimi leo nimeongea na washikaji zangu kwa njia ya mtadao yule wa Sweden kasema atanitumia Euro 2000, halafu nikaongea na mwingine yuko bara la ulaya sijui Canada, na yeye kasema atanitumia doal 3000 ili inisaidie kupamabana kwa kuwa nimewekwa karantinin na majirani zangu.
Umitoa wapi instagram... Twitter Au FacebookJAMANI MSIKILIZE MKUU WA MKOA WA DAR MAKONDA.View attachment 1456136
Acha kupotosha wewe,... nenda masons tenaUelewe! Barakoa hutumika sehemu ambazo hakuna uwezekano wa kukaa mbali mbali kiasi cha angalau mita moja kati ya mtu na mtu kama vile kwenye vyombo vya usafiri wa umma.
Hakuna cha job descriptions... Hakuna cha kutumia weledi... Hakuna cha kutumia busara binafsi...Unampigia simu rais mara 8 kwa siku, Ivi hukupewa job descriptions wakati wa ajira? kama mpango ni huo kuna haja ya uteuzi kweli
Watavaaje wakati Mkuu hapendi kuvaa au umesahau hata kule Kanisani Chato?? Lazima tuaminishwe kuwa corona haipo tena.Duuh hamna aliyeváa Barakoa hata mmoja. Hii ni hatari sana aisee
Umenijibu kwa mwanamke alieshushwa cheo na kutoka mke hadi kuwa mchepuko. Anyway sababu umenijib mipasho na nimeanza nikujib mipasho yako halaf nakugonga fact mwishoni.Umeandika kama demu mbovu anayejiona ni slayqueen
Sent from my iPhone using JamiiForums
Oyoooooooo, ccm chama la wanaaaa😂😂😂😂Raisi anaongea point sanaa
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Umenijibu kwa mwanamke alieshushwa cheo na kutoka mke hadi kuwa mchepuko.
Anyway sababu umenijib mipasho na nimeanza nikujib mipasho yako halaf nakugonga fact mwishoni.
Narudia tena huyo Mzungu ambaye ana mud wa kupoteza kuja kushangaa nyugu badala ya kushangaa wanyama wakiwa kwenye natural habitat hayupo.
Sent using Jamii Forums mobile app