Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Ukiacha mambo mengine aliyo yazungumzia mh Rais Jana kwenye hotuba yake jambo la kutia faraja kwa watumishi wa Umma ni hili. Kwamba watendelea kuwalipa mishahara kama ilivyo kawaida na haita punguzwa.
Hili limewatoa hofu watumishi wengi walio kuwa na hofu ya kusitishiwa mishahara yao kwasababu ya Janga la Covid-19.
Waalimu walikuwa kwenye hatari zaidi hasa ukizingatia wao hawapo kazini kwasasa kutokana shule kufungwa.
Hata hapa JF zilikuja mada za kushauri walimu wakatwe mishara katika kipindi hiki, laniki ashukuriwe Mungu kwa Rais kuliona hili na kuwajali watumishi wa Umma katika kipindi hiki kigumu.
Kwa hili Rais wangu nakupongeza umefanya maamuzi mazuri kwa kulinda masilahi na maisha ya watumishi.