kwangu ya sasa ni botra wakati kabla ya 2015 nilipandihswa lakini silipwi msahara mpaya ina baki madeni.Madeni yeneyewe yakupandishwa madaraja ya 2013 na 2015 nimelipwa na huyu mh 2017
kabla ya 2015 ilikuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabla ya 2015 ilikuwaje?
Sawa na alie pewa hilo papai akalipima nae ni nani sasa, mtaalam gani unapewa papai na wewe unapima??Yani kuna Mwalimu alikuwa na wasi wasi kuwa mishahara itasitishwa?
MATAGA mnatuonaje yaani.
Juzi boss wenu kapima papai. Yaani kipimo cha damu /mucus wewe unakiweka maji ya mmea.
Leo mataga mnakuja kutuongopea hapa.
Pumbavu
Kwa mfano angesitisha au aamue kulipa nusu wewe mburula ungefanya nin?? Ebu kuwa mkweli
Acha kazi kakae nyumbani ule bata mkuuWakupongeza na marais kama mseven, kagame na kenyata. Watumish wapo nyumbani wanakula bata tu mshahara unaingia. Wa huku mshahara unaingia na unapiga kazi mpaka ufe na korona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukichangia bila kutukana utakuwa hueleweki mkuu, au matusi ni dalili ya kuwa na akili nyingi zilizozidi viwango.Mpumbavu wewe. Kwahyo alijua 2020 tukakuwa na koroma. Mshezi mkubwa wewe. Nakuombea upitiwe na korona wewe na familia yako mbuzi jike wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiacha mambo mengine aliyo yazungumzia mh Rais Jana kwenye hotuba yake jambo la kutia faraja kwa watumishi wa Umma ni hili. Kwamba watendelea kuwalipa mishahara kama ilivyo kawaida na haita punguzwa.
Hili limewatoa hofu watumishi wengi walio kuwa na hofu ya kusitishiwa mishahara yao kwasababu ya Janga la Covid-19.
Waalimu walikuwa kwenye hatari zaidi hasa ukizingatia wao hawapo kazini kwasasa kutokana shule kufungwa.
Hata hapa JF zilikuja mada za kushauri walimu wakatwe mishara katika kipindi hiki, laniki ashukuriwe Mungu kwa Rais kuliona hili na kuwajali watumishi wa Umma katika kipindi hiki kigumu.
Kwa hili Rais wangu nakupongeza umefanya maamuzi mazuri kwa kulinda masilahi na maisha ya watumishi.
Ukurupukaji na umasikini tu wa mawazo, msamehe tu mkuu.Hasira za nini mkuu,povu lote hili kwa mtu usiyemjua kweli? Kwani korona ikipitia family yangu yote tatizo liko wapi? Pole sana mkuu ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Subutu, pasinge kalika humu mkuu hivi unawajua vizuri watanzania lakini hasa hawa wanao jiita wana harakati?JE KWATANZANIA KAMA ANGETOA UNAFUU WA KODI LAKINI AKAKATA NUSU MISHAHARA YA WAFANYAKAZI WOTE KWA MDA WA MWEZI MZIMA JE WAFANYAKAZI WANGEKUBALI?
Tatizo wenye akili wa humu wanatia mashaka kuwasikilizaThat has torn it. Sasa anzeni kujiandaa kisaikolojia, it said the devil is in the details. Wenye akili wamegundua kuwa kauli hiyo ni admission kuwa serikali haina fedha na watumishi kupunguziwa mishahara ni every strong possibility bordering certainty.
Kaa kimya..... Tena kimyaJAMANI TUWE WAKWELI MISHAHARA IMEKUWA IKONGEZWA ILA SIYO KWA MFUMO WA INFLATION BALI KWA MFUMO WA KUPANDA MADARAJA. KWA MFANO MIMI MSHSHARA WANGU WAKATI MKULU ANAINGIA ILIKUWA NI SH 1.4 MILLION tSH LAKINI HADI SASA NIMEFIKA SH 1.8 MILLION. SASA INATAKIWA TUWE WAKWELI KUSEMA KAMA TUNATAKA KUONGEZWA KWA MFUMO WA INFLATION AU WAKUPANDA MADARAJA?