Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
- Thread starter
- #21
Ookay, kwahiyo mkuu ukachunguza ukaja na majibu kuwa mimi ni demu.!!Wee kweli ni demu. Huo ni wajibu wa kawaida wa serikali inayokusanya kodi kutoka kwa raia wake. Hakuna la ajabu hapo. It is not a favour to government employees. Kusifia, kusifia... Ili mpewe vyeo. Mnasifia hata yasiyosifiwa. Mpenda sifa naye sasa anajulika kwa wapenda vyeo.
Sawa, tunasifia serikali kwa kutimiza vema wajibu wake, sasa kosa letu nini mkuu.?
Kwani wewe nyumbani kwako wanao wakikusifiwa kuwa wewe ni baba bora kwasababu unawatimizia mahitaji yao watakuwa wanafanya kosa kwasababu ni wajibu wako??