Ookay, kwahiyo mkuu ukachunguza ukaja na majibu kuwa mimi ni demu.!!Wee kweli ni demu. Huo ni wajibu wa kawaida wa serikali inayokusanya kodi kutoka kwa raia wake. Hakuna la ajabu hapo. It is not a favour to government employees. Kusifia, kusifia... Ili mpewe vyeo. Mnasifia hata yasiyosifiwa. Mpenda sifa naye sasa anajulika kwa wapenda vyeo.
Mi mwenyewe Ni mlumumba nilikosa Cha kujibu kwakuwa simu ilizima baada ya umeme kukatwa Jana... Ila akumbuke kuwa hatujasimamisha ujenzi wa bandari kavu, mradi wa mkondo wa umeme Wala treni ya mwendo kasi. Hatuhitaji aongeze kipindi hiki ila walau kuzungumzia maana na hili nalo Ni jangaHatokuelewa kabisa mkuu zaidi sana atakuita Lumumba ndo atakachofanya kama hato ona aibu.
Katika midomo yetu tunahubiri kuwa Corona Ni Jambo dogo na tuendelee kupiga kazi... Katika mshahara tunatishana kuwa Corona Ni janga kubwa lenye madhara makubwa kwa uchumi wetuKuna mtu bado hajui kama shughuli kadhaa za uzalishaji zimesimama.
Tz hiihii wengine wanaishi gizani sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
msitishe mishahara ya watumishi kwani kodi mmesitisha kukusanya?Ukiacha mambo mengine aliyo yazungumzia mh Rais Jana kwenye hotuba yake jambo la kutia faraja kwa watumishi wa Umma ni hili. Kwamba watendelea kuwalipa mishahara kama ilivyo kawaida na haita punguzwa.
Hili limewatoa hofu watumishi wengi walio kuwa na hofu ya kusitishiwa mishahara yao kwasababu ya Janga la Covid-19.
Waalimu walikuwa kwenye hatari zaidi hasa ukizingatia wao hawapo kazini kwasasa kutokana shule kufungwa.
Hata hapa JF zilikuja mada za kushauri walimu wakatwe mishara katika kipindi hiki, laniki ashukuriwe Mungu kwa Rais kuliona hili na kuwajali watumishi wa Umma katika kipindi hiki kigumu.
Kwa hili Rais wangu nakupongeza umefanya maamuzi mazuri kwa kulinda masilahi na maisha ya watumishi.
Mpumbavu wewe. Kwahyo alijua 2020 tukakuwa na koroma. Mshezi mkubwa wewe. Nakuombea upitiwe na korona wewe na familia yako mbuzi jike wewePumzi haijakata mkuu, hatuwezi kumtukana mpishi jua halijafika machweo,tumpe muda hakika hamtaamini,lakini kumbuka kuwa Magufuli ni foresighted leader, hii hali ya ugumu wa maisha aliiona kabla ndio maana alista kuongeza mishahara kwa watumishi na alibana pia matumizi yasio tiza ili pesa hizo zitumike kwa hali ngumu kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Pongeza serikali zote duniani. Hakuna seikali hata moja duniani imesitisha kulipa mishahara kwa ajili ya corona. Kwa hiyo ni kitu cha kawaida sana.
Ukiacha mambo mengine aliyo yazungumzia mh Rais Jana kwenye hotuba yake jambo la kutia faraja kwa watumishi wa Umma ni hili. Kwamba watendelea kuwalipa mishahara kama ilivyo kawaida na haita punguzwa.
Hili limewatoa hofu watumishi wengi walio kuwa na hofu ya kusitishiwa mishahara yao kwasababu ya Janga la Covid-19.
Waalimu walikuwa kwenye hatari zaidi hasa ukizingatia wao hawapo kazini kwasasa kutokana shule kufungwa.
Hata hapa JF zilikuja mada za kushauri walimu wakatwe mishara katika kipindi hiki, laniki ashukuriwe Mungu kwa Rais kuliona hili na kuwajali watumishi wa Umma katika kipindi hiki kigumu.
Kwa hili Rais wangu nakupongeza umefanya maamuzi mazuri kwa kulinda masilahi na maisha ya watumishi.
Mpumbavu wewe. Kwahyo alijua 2020 tukakuwa na koroma. Mshezi mkubwa wewe. Nakuombea upitiwe na korona wewe na familia yako mbuzi jike wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
msitishe mishahara ya watumishi kwani kodi mmesitisha kukusanya?
acheni kutoa uharo kupitia vinywani mwenu... uharo njia yake iko masaburini!!
na serekali ya Rwanda ilitoa unafuu wa kodi na tozo mbalimbali pia.KUMBUKENI NCHINI RWANDA WALIKATWA NUSU MSHAHARA KUGARIMIA KORONA
na serekali ya Rwanda ilitoa unafuu wa kodi na tozo mbalimbali pia.
EVEN!!
Mimi nilifikiri mabeberu wamewayumbisha manake kila mtanzania atakwambia mabeberu wamewayumbishaMkuu kipindi kama hiki uongezewe mshahara kwa makusanyo yapi? Shughuli nyingi za uzalishaji zimesimama,mapato toka vyanzo mbali mbali yameyumba
Utalii umeyumba,mauzo ya dhahabu Nayo yameyumba,tumpe muda mheshimiwa anayo nia ya dhati ,atatuongeza tu.kwa sasa khali ni duni sana kwa mataifa yote ulimwenguni.
Sent using Jamii Forums mobile app
serekali hii hii imeshatafuna rambirambi za wananchi. wananchi wamenyamaza.JE KWATANZANIA KAMA ANGETOA UNAFUU WA KODI LAKINI AKAKATA NUSU MISHAHARA YA WAFANYAKAZI WOTE KWA MDA WA MWEZI MZIMA JE WAFANYAKAZI WANGEKUBALI?
serekali hii hii imeshatafuna rambirambi za wananchi. wananchi wamenyamaza.
serekali hii hii haijapandisha mishahara ya
wafanyakazi kwa miaka 4 sasa. wananchi wamenyamaza.
wafanyakazi wakikatwa mishahara, hakuna jipya - watanyamaza tu!
wataendelea kunyamaza hadi siku wakiamua "enough is enough". imetokea kwenye nyengine, lazima kuna siku itatokea Tanzania pia.
kabla ya 2015 ilikuwaje?JAMANI TUWE WAKWELI MISHAHARA IMEKUWA IKONGEZWA ILA SIYO KWA MFUMO WA INFLATION BALI KWA MFUMO WA KUPANDA MADARAJA. KWA MFANO MIMI MSHSHARA WANGU WAKATI MKULU ANAINGIA ILIKUWA NI SH 1.4 MILLION tSH LAKINI HADI SASA NIMEFIKA SH 1.8 MILLION. SASA INATAKIWA TUWE WAKWELI KUSEMA KAMA TUNATAKA KUONGEZWA KWA MFUMO WA INFLATION AU WAKUPANDA MADARAJA?