Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sababu zipo nyingiOkk
Sasa kwa uzoefu kidogo uliyonao kwanini vitambulisho vina kuwa shida kutolewa
Ova
Vipi amekuwahi kuchukua buku saba ya bure hapo Lumumba mwache alambe buku saba apate nauli ya kurudi home na mlo wa jioniMods unanganisheni hii na ile
State agent
Mkuu tumshauri aongeze nguvu kaziWe are really in big trouble.
Tatizo la NIDA si Morogoro peke yake, ni nchi nzima. Huyo Mkurugenzi maskini sijui atajigawa vipi. Kila wilaya ina ofisi siku hizi. Kwa nini isitumike hiyo? Hilo la kwanza, la pili, hizo ofisi za NIDA zinapewa fedha za kutosha kufanya kazi hiyo? Jibu ni dhahiri, bajeti yao ni ndogo sana.
Kuhusu biashara ya mazao, naona kuna mkanaganyiko mkubwa zaidi. Ni soko huria au serikali itaendelea kupanga bei kama kwenye korosho na pamba? Itaacha kuwazuia wakulima kuuza nje ya nchi ili wapate bei nzuri?
Huyu Jiwe ni sheedahHhahaah baada ya kuharibu soko la korosho, Bangi sorry tumbaku, Mahindi etc ndio anakuja na huu msemo saa hizi?? Hongera sana san aserikali ya awamu ya Tano
Sasa kwani Serikali inafunga Soko la nje la mazao ?Hivi serikali ilshawahi kupanga bei ya mahindi?
Sheria ya food security ndio mchawi wa bei ya mazao ya vyakula. Pia tukumbuke kuwa kinachofanya bei ipande ni kuruhusu kuuza nje ya nchi. Serikali ikifunga uuzaji nje lazima bei ishue. Je kwa muktadha huo utasema serikali imepanga bei?
Jambo la kujiuliza: Hao viongozi wa juu waliwasilisha matatizo na mapendekezo yao kwa ngazi za juu? Rais anavyozungumza hapa inaonekana kama ngazi za juu hawana taarifa na changamoto zinazowakabili NIDA. Ndiyo maana siku zote huwa rais anasema tusifanye kazi kwa mazoea kama ilivyokuwa zamani. Kiongozi ukipewa eneo fulani kuongoza ukiona kuna changamoto jaribu kuziwasilisjha kwa ngazi husikan asiyo kukaa tu.Nida wawezeshwe idadi staff,fungu na vitendea kazi. Hata wakiweka ada ndogo 5000 itasaidia.
Kwa sasa huduma ni bure ila wananchi walipa garama kubwa wanatumia pesa nyingi nauli, muda, chakula, ndoa mtihani nk.
Kilichosababisha ukose soko ni nini? Na ulipokuwa unalima ulitarget soko gani?Sasa kwani Serikali inafunga Soko la nje la mazao ?
Hali ya kuwa wakulima sio tu wanashindwa kuuza mazao yao bali pia vijana wanaacha kulima na kukimbilia mjini.
Mimi ni Kati ya Vijana niliyeamua kuja kutafuta fulsa mjini baada ya Mazao yangu kukosa soko na kuoza na kupelekea kuzitelekeza shughuri za Kilimo.
Viongozi walishawasilisha changamoto walizonazo kwa ngazi za juu au wamejifungia tu ofisini na kuridhika?Mkuu tumshauri aongeze nguvu kazi
Maana ofisi za nida kila wilaya zinaupungufu wa rasilimali watu
Mkuu wala tatizo sio kuuza nje ya nchi kwa wananchi, hayo mahindi!! Msimu wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi haikupata mvua za kutosha, hivyo kupelekea mavuno kupungua, mfano kanda ya ziwa toka mwezi wa sita, katavi na rukwa ndio kimbilio lao kwenye mahindi na mchele!! Kingine ni NFRA, kuacha majukumu yake ya kununua na kuhifadhi mahindi, inapofikia kipindi kama hiki wanayauza kwa bei nafuu ku stabilize bei!!! Sasa wao wamenunua tani kidogo, hapo hapo tena wakaingia kwenye biashara WFP, na kuwauzia ZIMBABWE!! leo unasikia kauli za kibabe kibabe tu!! Na hata sasa anayefaidika sio mkulima, ni mfanya biashara, mkulima alishayauza wakati yako bei chini ili kukizi matatizo yake!!! Fuatilia awamu zilizopita kwenye maghara ya NFRA, yalikuwa yananunua tani ngapi uje ulinganishe na awamu hii!!!Hivi serikali ilshawahi kupanga bei ya mahindi?
Sheria ya food security ndio mchawi wa bei ya mazao ya vyakula. Pia tukumbuke kuwa kinachofanya bei ipande ni kuruhusu kuuza nje ya nchi. Serikali ikifunga uuzaji nje lazima bei ishue. Je kwa muktadha huo utasema serikali imepanga bei?
Hivi kwa wanaoijua korosho vizuri mtujuze hili zao LA shamba au kiwandani.Mi nilidhani ni zao LA shambani nikataka kujiuliza Inamaana anajipinga operation yake ya korosho?Rais Magufuli amesema serikali haiwezi kuwapangia wakulima wa mahindi bei ya kuuza mazao yao kwa sababu haikuwasaidia wakati wanalima.
Rais Magufuli amesisitiza kuwa wakati wa serikali kuwapangia wakulima bei za mazao yao umepita na hizi ni zama za soko kuamua.
Source Eatv habari!
Suala la kutengeneza vitambulisho sehemu moja siyo tatizo kama wanafanya kazi inavyotakiwa. Tena ndiyo vizuri kwa sababu za kiusalama. Kinachotakiwa ni kuwa na mashine na wafanyakazi wa kutosha. Kazi inaweza kufanyika masaa 24 na kwa siku saba kwa kutumia shift. Kuwa na sehemu tofauti tofauti za kutengeneza ni very risky na gharama.Kiukwel ofisi za NIDA huduma zinaonekana zipo chini Kuna shida ambazo zinapelekea kuwepo kwa changamoto ya upatikanaji wa namba +vitambulisho venyewe
1)Watumishi ni wachache, idadi ya watumishi ni wachache ukilinganisha na huduma zinazotolewa lwa wananchi watumishi waliopp wanalemewa na mzigo wa watu, wakati uncle anaingia madarakani aliwaondoka wafanyakazi takribani 500 waliokuwa wanafanya kazi kwa mikataba, hii kidgo ilikuwa inasaidia kupunguza mzigo wa kazi, sasa hv, ofisi za nida ukienda wafanyakazi hawazidi watano waliowwekwa permanent tena hao watano bahati na kama sipo wrong ni mkoa wa kagera nenda Morogoro pale tubuyu, ofisi ya nida ghorofa za kutosha lakini ulizia watumishi wa kufldumu wapo wangapi utaambiwa hata watano hawafiki.
2) Sehemu ya uchakataji, sehemu ambapo wanazalisha vitambulisho IPO moja pale kibaha, just imagine (tengeneza picha kichwani kwako) Tanzania nzima uchakataji/utengenezaji wa vitambulisho unafanyikia sehemu moja, watanzania tupo wangapi ?
Hapa ningeonelea kama wangekuwa na kanda/zones za kutengeneza vitambulisho kwa mfano kanda ya kati wawepo Dodoma wanazalisha vitambulisho, kanda ya kasakzn wawepo Arusha wanazalisha vitambulisho na kadhalika kusini wawepo mbeya wanazalisha vitambulisho ili kupunguza overrides ya kazi ya kuzalisha hizo I'd.
Nawasilisha
Umeeleza vema!Mkuu wala tatizo sio kuuza nje ya nchi kwa wananchi, hayo mahindi!! Msimu wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi haikupata mvua za kutosha, hivyo kupelekea mavuno kupungua, mfano kanda ya ziwa toka mwezi wa sita, katavi na rukwa ndio kimbilio lao kwenye mahindi na mchele!! Kingine ni NFRA, kuacha majukumu yake ya kununua na kuhifadhi mahindi, inapofikia kipindi kama hiki wanayauza kwa bei nafuu ku stabilize bei!!! Sasa wao wamenunua tani kidogo, hapo hapo tena wakaingia kwenye biashara WFP, na kuwauzia ZIMBABWE!! leo unasikia kauli za kibabe kibabe tu!! Na hata sasa anayefaidika sio mkulima, ni mfanya biashara, mkulima alishayauza wakati yako bei chini ili kukizi matatizo yake!!! Fuatilia awamu zilizopita kwenye maghara ya NFRA, yalikuwa yananunua tani ngapi uje ulinganishe na awamu hii!!!
Mbona korosho anapanga bei?Rais Magufuli amesema serikali haiwezi kuwapangia wakulima wa mahindi bei ya kuuza mazao yao kwa sababu haikuwasaidia wakati wanalima.
Rais Magufuli amesisitiza kuwa wakati wa serikali kuwapangia wakulima bei za mazao yao umepita na hizi ni zama za soko kuamua.
Source Eatv habari!
Kilichosababisha ukose soko ni nini? Na ulipokuwa unalima ulitarget soko gani?
Umeambiwa hizo zama zimepita......uwe unaelewa bwashee!Mbona Bei ya korosho anapanga bei?