Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

kwa wakulima wenye kuvumilia bei ipande huwa wanafaidika pia.

Na wako wakulima wanapeleka wenyewe sokoni.
Hivi anaefaidika na Bei kubwa ni mkulima au mlanguzi.., mlanguzi ananunua mahindi yakitoka tu kwa bei ndogo kwa mkulima anayaweka bei zipande by the time bei ipo kwenye peak mkulima hana hata mbegu za kupanda...
 
kwa wakulima wenye kuvumilia bei ipande huwa wanafaidika pia.

Na wako wakulima wanapeleka wenyewe sokoni.
utavumilia bei ipande wakati hauna chakula, mwanao hajapata mkopo na hauna Bima.., unamuongelea mkulima gani..., wazee wa kila Kalumekenge au mtoto wa Mkulima Pinda.. ? Na huko sokoni anapeleka huo mzigo bure, au anapakia kwenye baiskeli ?

Let be realistic for a change.....
 
mkuu unaongelea kuwa realistic bila kutoa pendekezo lanini kifanyike.

Pia usisahau wakulima wana stages.
 
mkuu unaongelea kuwa realistic bila kutoa pendekezo lanini kifanyike.

Pia usisahau wakulima wana stages.
instead ya kuendelea kumnufaisha mlanguzi kunapofanyika sasa hivi, kwenye high demand na bei ndogo serikali inunue na kuweka kwenye maghala.., kwenye supply ndogo na demand kubwa ifungue maghala na kumwaga mzigo sokoni..., thus kuongeza supply...

Na hizi ni ngonjera ingekuwa bottom line ni mkulima mambo yakiwa magumu msingewakata kuuza mali zao mfano, kahawa kwa waganda au mahindi na bidhaa nyingine kwa yoyote anayekuja..., when push comes to shove utasikia mipaka imefungwa hakuna kuuza nje
 
una mawazo mazuri..
Ila president amehamua kutofanya hivyo.

May be mext time
 
Ndio maana Kuna uhamiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…