Rais Magufuli huhitaji kujieleza unapomtoa Waziri. Kwa January Makamba jikalie kimya

Mimi nilifikiri baraza la mawaziri likikutana hapo ndipo waziri asiyetekeleza majukumu anapata kibano. Miaka minne ni mingi kwa asiyefanya kazi zake vizuri.
 
We jamaa kigoma vumbi linatuua halafu uko jf unajifanya mbunge wa taifa..
Najutia kura yangu niliyokupigia.
Hupati tena kura yangu..

KG kuna matatizo lukuki wewe unakazana na mambo ya kitaifa wakati mkoa wako upo kwenye top 5 ya umasikini..
Tunajua mbunge hana uwezo wa kujenga lami mwenyewe lakini una uwezo wa kuikumbusha serikali kila siku.
Lakini umekazana tu na korosho za mtwara mala mifuko ya plastic ....dadadeq
 
Mie ninachokiona hapa ni kuwa Makamba junior alibebwa kwa sababu ya baba kama mke wa JK ALIVYOINGIA MJENGONI. Vinginevyo dogo angesogezwa pembeni kabisa tangu mwanzo. Angalia waliomfuata kwenye kinyang'anyiro 2015 wapo wapi sasa, wanasikika!
sASA DOGO HANA LAKE TENA BAADA YA BABA kumnyooshea kidole Magu
 
Hapo ndipo unapofeli bwana Zitto. Unafiki mwingi sana unapoona fursa. Unasema hukusikia lalamiko kuhusu NEMC kwenye kikao cha rais na wafanyabiashara!

Mwakilishi kutoka Iringa alilalamika kuhusu nini. Kama una malengo na uongozi kuwa real. Ila kama lengo lako ni kujenga SACCOS big up. You are very smart at outsmarting cheap thinkers.
 
Unataka kusema raisi hajui ni kipi cha kusema au kutokusema??
 
Huyu jamaa ni mdini sana, utetezi huu base yake ni kwa sababu mtetewaji dini yake ni sawa na huyu jamaa..anazunguka zunguka kuokoteza vijisababu wala cyo substance kabisa, lengo ni kuonyesha support kumliwaza muumini mwenzie.
 
Nakubaliana na maneno yako ila sidhani kama nakubaliana na makamba
 
Wanazingua sana kuleta porojo kwenye kila kitu, badala ya kujikita katika kufanya tafiti na kukusanya data, kuzichambua na kisha kuja na comprehensive socio economic policy, itakayo likomboa hili taifa kwenye huu mkwamo wa spidi ndogo ya maendeleo kwa taklibani miaka 40 sasa kijamii,kiujumi na kisiasa.... Ila wao lisu/kutekwa/risasi na kurukiarukia tu hoja, watu makini wanawachoka.

Kuna Mambo mengi Sana wangejikita kuyatungia sera, mfano; Ni aibu leo zaidi 40 years ya Uhuru tunaapisha WAZIRI wa kilimo, ila changamoto za kilimo TZ ni zile zile na hazina hata dalili ya kupatiwa ufumbuzi wala kutatuliwa......
1- uzalisha duni wa mazao ya kilimo(Kuna sababu zake na julikana)
2- ukosefu wa viwanda vya kuchata mazao na kuongeza thamani...
3- ukosefu wa masoko ya uhakika wa mazao yetu na kuendelea kuwa kuwafurahisha wakulima nchini
4- kukosekana kwa msukumo wa dhati wa serikali kukisimia kilimo kwa sera na mipango Bora na endelevu ya kimkakati ili kutatua 1-3 hapo juu..

Sijui hata kwanini tuna wizara na WAZIRI wa kilimo [emoji45][emoji45][emoji45]
 
Goli la mkono linawezekana vipi kuepukika?
 
Kuanzia tarehe 1 mwezi wa 8 2019
Mifuko ya plastic ruksa?
 
Wewe Mrundi hata akili hunaga kabisa. Mbona nimesikiliza speech ya Rais na hakutaja popote kuwa kamtoa waziri aliepo kwa ajili ya uzembe wala nini? Kasema tu changamoto waziri kaziona bahati nzuri na angaongezea machache kama kuhakikisha vibali vinatoka on time na vitu vingine very positive. Ndiyo maana watu hawakupendi kumbe ni tabia zako za kugeuza maneno
 
Sijamsikia popote Rais Magufuli akitaja sababu za kumtumbua January. Ni kama vile unamlisha maneno!
Wewe umelishwa limbwata na muongo. Hata hivyo Watanzania siyo wajinga. Kwani lazima wewe usikie? Pigeni hela ya lishamba la kanda ya ziwa.
 

Hiii swala la Kilimo kwa kweli naona kwa sasa kama tunarudi nyuma kuliko kipindi cha Mwalimu, inakuwaje haluna mkakati wa kukiinua Kilimo? Yaani jana ni nafuu kuliko leo.
 
Sasa unabisha kwamba alimlazimisha?
 
Ukishangaa ya Wizara ya Kilimo ..utakutana na Wizara ya Viwanda na Biashara ambao wanatakiwa kumeza mazao ya kilimo, Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Technolojia hata halafu kibaya zaidi . Huu muundo wa Serikali zetu za Mitaa na Serkali kuu hazina Muunganiko kabisa ngazi za halmashauri na majiji. Huku afisa biashara anajibu kwa Mweka hazina ambaye yupo Wizara ya Fedha utacheka. Afisa Misitu na Mazingira anajibu kwa Mganga Mkuu wa wilaya DMO ambaye yupo Wizara ya AFyaaaa badala ya kujikita Wizara ya Misitu hapohapo unamleta mENEJA WA TFS , yaani shida sana .... walau Ardhi na Maji kwa sasa wamehamishiwa wizarani moja kwa moja yaani.
 
Tafadhali sana ndugu zito,
Usije ukamshauri bwana January kujiunga na upinzani.

Tunataka abakie huko huko ccm.

Januari usije ukaenda chama chochote ch upinzani.

Usije ukathubutu.

Baki hapo hapo.
Chezeni karata zenu vizuri.

Siku zote wakitaka kumshinda adui basi wanatakiwa wasikimbie uwanja wa vita bali wanatakiwa wabaki humohumo ili ikazi iwe rahisi tofauti na mtu anayetoka nje ya Cycle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…