Rais Magufuli huhitaji kujieleza unapomtoa Waziri. Kwa January Makamba jikalie kimya

Rais Magufuli huhitaji kujieleza unapomtoa Waziri. Kwa January Makamba jikalie kimya

Na kinachonishangaza huyu huyu ambaye akiwatumbua Mawaziri wake huwa anatumia muda mwingi Kuwakosoa na Kutuaminisha Makosa ( Mapungufu ) yao hasa ya Kiutendaji ndiyo Yeye hata wakati Siku akiwaapisha aliwasifia sana na kutuaminisha mno Watanzania kuwa ameteua Watu very Competent katika hizo dockets zake.

Naanza sasa kupata wasiwasi kuwa huenda Yeye ndiye akawa tatizo na siyo hao Wateule wake. Kuna tatizo mahala na naungana nawe Mheshimiwa Mbunge katika hili uliloligusia hapa.
Nakushangaa sana kama hili ndyo umeliona leo
 
Sisi ni watanzania tupo chini ya wizara zote kwa kifupi tupo chini ya serikali hii
Kama serikali ni hii hii basi na mwili ni huohuo tumia mdomo kunya sasa..... unataka waziri wa mazingira akemee matukio hayo wakati waziri wa ulinzi yupo, waziri wa mambo ya ndani yupo, waziri wa utawala bora yupo..... kama unafikiri kuwa serikali/mwili ni moja ndio kigezo cha kila waziri/kiungo kutumika sasa tembelea kichwa....
 
Makamba kaona aibu kwenda Ikulu. The traitor. January shame on you. Halafu Zitto kwani JPM kasema hizo ndo sababu? Alikuwa anaelezea tu madudu yaliyopo kwenye wizara ya mazingira.
Unamaana gani kusema alikuwa anaelezea tu.
 
mi mwenyewe nipo against sana na maCCM ila kwa January HAPANA.
Ninachoamini kutoka moyoni mwangu kabisa, our beloved country would be much much better with January being the president than we are now.
 
Kufa kufaana su kwa utetezi huu kuna fursa umeona
 
Kangoja siku zote mpaka audio ilipo leak ndiyo kamtoa?

Au audio ka leak yeye?
 
Ninachoamini kutoka moyoni mwangu kabisa, our beloved country would be much much better with January being the president than we are now.
Kwa uongozi wa sasa, vifulambute wengi sana wangeweza kuendesha nchi vizuri kuliko haya mazingaombwe tunayoona.
 
January alikua waziri bora kati ya wana ccm.Aliweza kuobdoa viroba na mifuko ya plastic.
Huko tuendapo huyu jamaa atasema hata kondomu gloves ni plastic hazifai maana anasema eti mifuko ya simu
 
Zito! sometimes unazingua babu! waache wachomane wao kwa wao!
Mkuu hii inaitwa Chama Cha Wachochea Kuni Tanzania (CHAWAKUTA)
Kwa ufupi sisi tunaendelea kusogeza kuni na kupuliza moto kwa mdomo
 
Mimi namwelewa sana Zito kwa post zake kwenye hili bifu kutoka barua ya makatibu wastaafu mpk kwa JM. Zt endelea hivyohivyo maana watanzania wengi tunamwona rais kama Mungu hakosei!
Mbona Jenister Mhagama ameboronga kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii lakini mpk sasa anaendelea?
 
Nikiwa Sekondari,mkuu wa shule alimsifia Kiranja mkuu kwa uongozi wake uliotukuka. Mwezi uliofuata Kiranja Mkuu alituongoza kwa maandamano mpaka ofisi ya katibu tarafa kupinga ukubwa wa adhabu za viboko pale shuleni. Kiranja mkuu alifukuzwa shule kwa kadhia ile
 
Back
Top Bottom