Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Nakushangaa sana kama hili ndyo umeliona leoNa kinachonishangaza huyu huyu ambaye akiwatumbua Mawaziri wake huwa anatumia muda mwingi Kuwakosoa na Kutuaminisha Makosa ( Mapungufu ) yao hasa ya Kiutendaji ndiyo Yeye hata wakati Siku akiwaapisha aliwasifia sana na kutuaminisha mno Watanzania kuwa ameteua Watu very Competent katika hizo dockets zake.
Naanza sasa kupata wasiwasi kuwa huenda Yeye ndiye akawa tatizo na siyo hao Wateule wake. Kuna tatizo mahala na naungana nawe Mheshimiwa Mbunge katika hili uliloligusia hapa.