Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ni wivù tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanuni ni moja tu mkuu, wote ni maadui, kwa hiyo ukiwakuta wanapigana wazoofishe wote au waangamize wote full stop, sio unamsaidia mmojaOK OK ok, nanyamaza ili tusigombane. Ila nitafafanua baadae maana ya kiss the enemy of your enemy.
alafu siku hizi ndg Mbona Kama sio wewe mkwepa kodi wa 2014 2015 2016,!!!!? Uwezo wako wa kijenga hoja umeshuka mno. Uwezo wako wa kuchambua mambo umeshuka mno.Mwambie Zitto itapendeza zaidi akikaa kimya, kuliko utumbo huo anaotoa mbele ya watanzania
We zitto unakuwaga taahira saa zingine, hivi hii hoja ya trillion 1.5 kuna wapuuzi wanaowaamini
Kwa mwezi tu TRA inakusanya wastani wa trillion 1.3 na katika matumizi almost billion 600 zinaenda kulipa mishahara, sasa eti mtu aibe trillion 1.5? Nchi ingesimana. Na itapelekwa wapi mipesa mingi hivyo? Acacia tu imenunuliwa na Barrick kwa billion 980 (japo ni uongo)
Uko nchi ganiSijamsikia popote Rais Magufuli akitaja sababu za kumtumbua January. Ni kama vile unamlisha maneno!
Hahaha akazipeleka wapi?ingekua uongo, Rais wako kwa jinsi alivyo angefunga wooooooooooooooooooooooooooooote wanaom'zushia'...ni kweli ameiba na ndio maana hajajitokeza kujibu shtuma hizi
Bora angekaa kimya ustaarabu gani wa kusema uongo mbele ya watz, Rais unakuw mwongo mwongo 2 wtz sio wajinga bhn nw sababu za kumtoa tunasijua na zipo wazi kama unakubali kudanganyw ni ww bhnZitto angalia usije kumponza January .... Kama kuchemsha kachemsha sana. Hakuna Kiongozi yeyote ambaye angemuacha madarakani kwa kitendo alichokifanya.
Rais ameonyesha ustarabu kwa kuongelea mengine na kuiacha sababu ya msingi ... Labda atakuwa ansubiri awafanyie kazi ndani ya vikao vya chama.
Hahaha akazipeleka wapi?
Tatizo wewe ni msahaulifu, hivi uliwahi kumuona hata kwa dakika mbili tu makamba anatoa pole au kulaani kitendo cha kupigwa risasi Lissu, au kutekwa wananchi, au kuwekwa jela wapinzani akiwemo Zitto mwenyewe, kuuawa wananchi n.k.?alafu siku hizi ndg Mbona Kama sio wewe mkwepa kodi wa 2014 2015 2016,!!!!? Uwezo wako wa kijenga hoja umeshuka mno. Uwezo wako wa kuchambua mambo umeshuka mno.
HAPANA WEWE! Hii mbinu ya Zitto ni mzuri sana, hata mimi niliwahi kushauri humu na kwa bahati mzuri ikawa kama kayaona maoni yangu! Unajua mtu kama Jiwe akiona hapo January kasifiwa ndo ananuna kweli kweli! Jiwe akinuna, Mayagi Mulaga nae ananuna utadhani anapumuliwa nae! Mayagi Mulaga akinuna, huyoooo, utashangaa anaanza kumwandama aliesifiwa! Yaani haya majaa unayochonoa, kisha unakaa pembeni kusikilizia!Zito! sometimes unazingua babu! waache wachomane wao kwa wao!
As long as boss wa NEC anateuliwa na Rais,ushindi wa CCM uko pale pale kwa 100%.Membe baki CCM.
January baki CCM.
Nape baki CCM.
Kinana baki CCM.
Makamba Sr baki CCM.
Mkiwa na vinyongo vyenu endeleeni kubaki huko huko mkichochea kuni mpaka 2020.
LISSU rudi haraka Tanzania wakati ni huu, Mbowe kaa chini na ACT mkubaliane pamoja na Seif na akina Jussa na wazanzibar wote, bara asimame LISSU na visiwani kama kawa Maalim na ACT.. CCM kwa hali waliyonayo kuni zikichochewa wanaanguka mapema sana 2020..
Sijamsikia popote Rais Magufuli akitaja sababu za kumtumbua January. Ni kama vile unamlisha maneno!
Inasemekana yy ndio alipindua matokeo,alifanya vise vesser na mpaka leo yanatutesaWazee wa bao la mkono wacha wakipate na wenyewe, huyu si nasikia aliiiii kuwa na timu ya vijana wa IT kutuibia kura zetu??Sina hakika sanaa, ila tulisikia hivyo, kwa hiyo bwana acha waonje machungu uovu haujawahi kumuacha mtu salama, kura zetu walizotuibia ndio matunda wanayopata,Lisu alisema wakimaliza upinzani watawarudia nyie,acha wavurugane hadi akili ziwakae vyema
We RC nimekung'amua asilani kwa uandishi huu hunibishiiWe zitto unakuwaga taahira saa zingine, hivi hii hoja ya trillion 1.5 kuna wapuuzi wanaowaamini
Kwa mwezi tu TRA inakusanya wastani wa trillion 1.3 na katika matumizi almost billion 600 zinaenda kulipa mishahara, sasa eti mtu aibe trillion 1.5? Nchi ingesimana. Na itapelekwa wapi mipesa mingi hivyo? Acacia tu imenunuliwa na Barrick kwa billion 980 (japo ni uongo)
Wewe ndiye mpuuzi! Hujui kuwa serikali inatumia mikopo kutekeleza miradi ya maendeleo? Na fedha hizi ndiyo huyu unayemtetea anakwapua na kufanya mambo yake yasioidhinishwa na bunge! Fedha za TRA ni kwa ajili ya mishahara na kuendea Chato!We zitto unakuwaga taahira saa zingine, hivi hii hoja ya trillion 1.5 kuna wapuuzi wanaowaamini
Kwa mwezi tu TRA inakusanya wastani wa trillion 1.3 na katika matumizi almost billion 600 zinaenda kulipa mishahara, sasa eti mtu aibe trillion 1.5? Nchi ingesimana. Na itapelekwa wapi mipesa mingi hivyo? Acacia tu imenunuliwa na Barrick kwa billion 980 (japo ni uongo)
Kama ni hivyo acha akione cha moto na yeyeInasemekana yy ndio alipindua matokeo,alifanya vise vesser na mpaka leo yanatutesa
Anatakiwa anyooshwe mpk kipara kiote nywele.Kama ni hivyo acha akione cha moto na yeye