Rais Magufuli huhitaji kujieleza unapomtoa Waziri. Kwa January Makamba jikalie kimya

OK OK ok, nanyamaza ili tusigombane. Ila nitafafanua baadae maana ya kiss the enemy of your enemy.
Kanuni ni moja tu mkuu, wote ni maadui, kwa hiyo ukiwakuta wanapigana wazoofishe wote au waangamize wote full stop, sio unamsaidia mmoja
 

ingekua uongo, Rais wako kwa jinsi alivyo angefunga wooooooooooooooooooooooooooooote wanaom'zushia'...ni kweli ameiba na ndio maana hajajitokeza kujibu shtuma hizi
 
Bora angekaa kimya ustaarabu gani wa kusema uongo mbele ya watz, Rais unakuw mwongo mwongo 2 wtz sio wajinga bhn nw sababu za kumtoa tunasijua na zipo wazi kama unakubali kudanganyw ni ww bhn
 
alafu siku hizi ndg Mbona Kama sio wewe mkwepa kodi wa 2014 2015 2016,!!!!? Uwezo wako wa kijenga hoja umeshuka mno. Uwezo wako wa kuchambua mambo umeshuka mno.
Tatizo wewe ni msahaulifu, hivi uliwahi kumuona hata kwa dakika mbili tu makamba anatoa pole au kulaani kitendo cha kupigwa risasi Lissu, au kutekwa wananchi, au kuwekwa jela wapinzani akiwemo Zitto mwenyewe, kuuawa wananchi n.k.?
 
Zito! sometimes unazingua babu! waache wachomane wao kwa wao!
HAPANA WEWE! Hii mbinu ya Zitto ni mzuri sana, hata mimi niliwahi kushauri humu na kwa bahati mzuri ikawa kama kayaona maoni yangu! Unajua mtu kama Jiwe akiona hapo January kasifiwa ndo ananuna kweli kweli! Jiwe akinuna, Mayagi Mulaga nae ananuna utadhani anapumuliwa nae! Mayagi Mulaga akinuna, huyoooo, utashangaa anaanza kumwandama aliesifiwa! Yaani haya majaa unayochonoa, kisha unakaa pembeni kusikilizia!
 
As long as boss wa NEC anateuliwa na Rais,ushindi wa CCM uko pale pale kwa 100%.

NB:Mjanja sio anaepiga kura bali anayetangaza matokeo.

Natangaza matokeo haya kama nilivyoyapokea-Judge Lubuva(2015).
 
Wapo wanasiasa wanaojipendekeza hili wa maintain vyeo vyao au wapate kuteuliwa ngazi za juu.January hakuwa msemaji sana lakini ni kijana mbunifu anayeweza kuleta utofauti na wale wasemao Bwana Bwana lakini uhalisia wao sivyo walivyo.
 
Inasemekana yy ndio alipindua matokeo,alifanya vise vesser na mpaka leo yanatutesa
 
We RC nimekung'amua asilani kwa uandishi huu hunibishii
 
Zitto mbona unakeleketwa sana na mambo yanayoendelea ndani ya CCM? Chukua kadi basi.
 
Wewe ndiye mpuuzi! Hujui kuwa serikali inatumia mikopo kutekeleza miradi ya maendeleo? Na fedha hizi ndiyo huyu unayemtetea anakwapua na kufanya mambo yake yasioidhinishwa na bunge! Fedha za TRA ni kwa ajili ya mishahara na kuendea Chato!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…