Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ile Tanzania ya Viwanda uliyotuahidi ndiyo hii?

Viwanda nane elfu si mchezo US tumewapiga mbali sana.
Tatizo ni uwezo mdogo wa kug'amua mambo. Mnadhani kiwanda ni kama plant ya Ford motors tu. Hujui hata kiwanda cha kutengeneza nywele bandia ni kiwanda? Hujui hata kiwanda cha kukamua alizeti ni kiwanda.
 
Kwani huendagi saloon kunyoa ivyo ndo viwanda vyenyewe. Wewe ndo raw materials na nywele zako ndo finished product
 
Kwa hiyo Wb iliipangia tz kufikia 2025 iingie uchumi wa dola 1065 ila kwa miujiza ya magufuli tumeingia 2O2O? Kwa akili zako hizi za panzi tangu 1962-2O2O miaka 6O tuna GNI ya 1OOO je kwa miaka 5 tunaweza kufikisha GNI ya dola 2OOO?
 
CCM imezoea kula vibudu, wao ni kwa vile vya kunyonga, vya kuchinja hawaviwezi.
 
Naona umeamua kujitoa akili makusudi sijui kipi huelewi? Dola 1O66 ni middle income, dola elf3 ni middle income pia na dola elf12 ni middle income, swali je tz ina uchumi dola elf 3 hadi useme tumefikia uchumi wa kati kabla ya lengo?
 
Huwezi ukajenga viwanda kwa sera za ujamaa huwezi ukajenga uchumi wa viwanda kwa kuwachukia mabeberu.
Labda viwanda vya mabua
Sera za ujamaa zimetuongezea viwanda vya hirizi tu.
 
Tatizo ni uwezo mdogo wa kug'amua mambo. Mnadhani kiwanda ni kama plant ya Ford motors tu. Hujui hata kiwanda cha kutengeneza nywele bandia ni kiwanda? Hujui hata kiwanda cha kukamua alizeti ni kiwanda.
Kiwanda cha kukamua alizeti ni kikubwa mno, mtaani kwenu kukiwa na blenda nne za kukamua juisi tayari hicho ni kiwanda tosha kabisa!
 
Tatizo ni uwezo mdogo wa kug'amua mambo. Mnadhani kiwanda ni kama plant ya Ford motors tu. Hujui hata kiwanda cha kutengeneza nywele bandia ni kiwanda? Hujui hata kiwanda cha kukamua alizeti ni kiwanda.
Kiwanda cha kutengeneza nywele bandia? You mean Salon, kama ni hizo poa hata wangesema tunavyo elfu 20 ningekubali.
 
Kiwanda cha kutengeneza nywele bandia? You mean Salon, kama ni hizo poa hata wangesema tunavyo elfu 20 ningekubali.
Wewe mpumbavu hujui mkeo anasuka rasta ambazo zinatengenezwa Tanzania. Kwani hujui Halima Mdee na uso uliojaa mafenesi bila rasta zinazotengenezwa Tanzania ingekuwa aibu.
Any waya Gwajima amemaliza mchongo.
 
Unajua kiwanda boss? Naona karakana unaita kiwanda.
Ninyi washabiki na wafuasi wa Chadema mna shida moja. Mmejua Chadema chali. Hivi hamjui kuwa tiles,washing powders,soaps mabati n.k vinatengenezwa hapa Tanzania? Hamjui kila imports hapa Tanzania zimepungua sana. Acheni upuuzi acheni ushabiki.
 
Mhu!! Pumba!

Mimi nimepitia maisha ya ujamaa, maisha ya ruksa, maisha ya ukapa, na maisha yakibaba kutoka safarini. Sasa kama wewe ulikulia maisha ya kibaba, hutaweza kujadiliana nami hata siku moja kwani hatuwezi kuelewana.
Umelisaidiaje taifa lako ktk kukuza uchumi kwa kipindi hicho chote au ndo mmekua chanzo cha haya maisha tuyaonayo sas
 
Yeye alichokuwa anafanya au anachofanya ni kuweka mazingira mazuri na umeme ili wewe na Mimi tuweke hivyo viwanda, kama wewe hutaki au huwezi subiri kukuta hizo nyama chini.
Anachoweza ni kupinga na kukejeli. Hana jipya ambalo ni chanya.
 
Ni hii hapa,
Tumeweza
Tunasonga mbele na ccm yetu
 
Umelisaidiaje taifa lako ktk kukuza uchumi kwa kipindi hicho chote au ndo mmekua chanzo cha haya maisha tuyaonayo sas
Hujui kuwa tumengia katika kundi la uchumi wa kati? Kama wewe una maisha ya dhiki, basi fanya kazi sana. Maendeleo ya watu huletwa na watu wenyewe, serikali huwatengezea mazingira tu kwa kuwajengea miundombinu halafu wao wanafanya kazi ya kujitafutia maendeleo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…