Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ile Tanzania ya Viwanda uliyotuahidi ndiyo hii?

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ile Tanzania ya Viwanda uliyotuahidi ndiyo hii?

Jibu hoja. Ni propaganda gani niliisema hapa? Si kweli kwamba mpango wa Taifa unasema mwaka 2025 Tanzania iingie uchumi wa kati na kuwa nchi ya viwanda? Hapa kuna propaganda gani?
Kwa hiyo sasa hivi tz ina uchumi wa dola 3000?
 
Huwezi ukajenga viwanda kwa sera za ujamaa huwezi ukajenga uchumi wa viwanda kwa kuwachukia mabeberu.
Labda viwanda vya mabua
Hao waliojenga viwanda, wanawezaje, acha kukariri mambo.
 
Kwa hiyo sasa hivi tz ina uchumi wa dola 3000?
Hayo ni maneno yako. Mimi sijazungumzia wastani wa mapato ya Mtanzania. Kwa mujibu wa World bank, uchumi wa chini ni wastani wa chini ya USD 1,000. Wastani wa USD 1,000-3,000 ni uchumi wa kati; na wastani juu ya USD 3,000 ni uchumi wa juu. World Bank ilitangaza kuwa wastani wa uchumi wetu ni zaidi kidogo ya USD 1,000. Hivyo tuko kwenye uchumi wa kati. Specifically, ukivuka wastani wa USD 1,000 unahesabiwa kuwa kwenye Lower Middle Income; na ukikaribia wastani wa USD 3,000 unahesabiwa kuwa kwenye Upper Middle Income. Haya yote ni madaraja yanayotajwa na World Bank yenyewe. Sasa kwa nini umsokome Magufuli? Waambie World bank kwamba mmekosea kuitaja Tanzania kuwa kwenye uchumi wa kati.
 
Ngoja nikuume sikio, futa huu ugolo ulioandika kabla wachumi hawajaja make watacheka mpaka aibu! Hivi unafahamu nchi zenye uchumi wa dola elfu kumi nazo zipo uchumi wa kati? Swali la pili je unafahamu hasa lengo la dira ya taifa ilikuwa 2025 tufike uchumi wa dola 3000 au 1000?
 
Leo anaongelea Uchumi wa kati. Hata china uchumi wake ni wa kati. Sasa najiuliza huu uchumi wa kati wa magufuli ni upi au wa katikati ya mapaja.
 
View attachment 1565079

Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa?

Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine.

Najua waliodanganywa 2015 ni wale wale wanaodanganywa leo 2020 kuwa anakwenda kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya na watu wanashangilia pasipo kuhoji utekelezaji wa Tanzania ya Viwanda.

CCM na Magufuli walivyo wajanja hata kugusia Tanzania ya Viwanda hawataki tena, wanajua wakiwaamusha waliolala watalala wao.

Tuendelee kusifu na kushangilia, tunywe mtori labda nyama tutazikuta kwa chini.
Umeandika kwa mihemko sana. Ngoja nikupe list ya baadhi ya viwanda vilivyofunguliwa na Raisi Magufuli katika kipindi cha miaka mitano iliyopita:

1. Kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani Pwani

2. Viwanda vya mradi wa upanuzi wa mtambo wa maji wa Ruvu Juu na uzalishaji wa mabomba.

3. Mradi wa Upanuzi wa mtambo wa kusafisha maji Ruvu juu Mlandizi Mkaoni Pwani

4. Mradi mkubwa wa kusafisha na kuzalisha Maji kwa miji ya Pwani na Dar es Salaam.

5. Kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani.

6. Kiwanda cha kutengeneza matrekta URSUS kilichopo Kibaha mkoani Pwani.

7. Kiwanda cha Nondo cha Kilua Steel Group kilichopo Mlandizi mkoani Pwani.

8. Viwanda vya chaki na kiwanda cha usindikaji maziwa –Simiyu

9. Kiwanda cha kuchakacha mahindi Mlale – Ruvuma

10. Kiwanda cha kusaga nafaka cha MeTL – Kurasini Dar Es Salaam

11. Kiwanda cha Sayona – Mwanza

12. Kiwanda cha Victoria Molders and polybags – Mwanza
 
Hayo ni maneno yako. Mimi sijazungumzia wastani wa mapato ya Mtanzania. Kwa mujibu wa World bank, uchumi wa chini ni wastani wa chini ya USD 1,000. Wastani wa USD 1,000-3,000 ni uchumi wa kati; na wastani juu ya USD 3,000 ni uchumi wa juu. World Bank ilitangaza kuwa wastani wa uchumi wetu ni zaidi kidogo ya USD 1,000. Hivyo tuko kwenye uchumi wa kati. Specifically, ukivuka wastani wa USD 1,000 unahesabiwa kuwa kwenye Lower Middle Income; na ukikaribia wastani wa USD 3,000 unahesabiwa kuwa kwenye Upper Middle Income. Haya yote ni madaraja yanayotajwa na World Bank yenyewe. Sasa kwa nini umsokome Magufuli? Waambie World bank kwamba mmekosea kuitaja Tanzania kuwa kwenye uchumi wa kati.
Ngoja nikupe darasa ukawaelimishe wenzako muache propaganda, wb imeclassfy nchi zenye middle income ziwe zile zenye GNI per capita kuanzia dola 1062 to 12450, pia middle income ina makundi mawili lower na upper, lower inaanzia 1062-3955 na upper inaanzia 3956-12450 so tukija upande wa dira ya taifa, ni kwamba iliweka lengo la kuwa na uchumi wa dola elf 3000 ama zaidi kufikia mwaka 2025, ni kweli tz tumeingia uchumi wa Kati coz uchumi wa kati unaanzia dola 1062, ila kama taifa pia tulipanga kufikia 2025 tuwe na uchumi wa dola 3000. So tunawaomba muache propaganda kuwa tumefikia uchumi wa Kati kabla ya lengo
 
Unakubali kwamba TZ iko kwenye uchumi wa kati kufuatana na GNI. Unaendelea kusema kwamba dira ya Taifa ni kwamba ifikapo mwaka 2025 GNI iwe USD 3,000. Kitu nisichokielewa ni hiyo sentensi yako ya mwisho inayotuomba tuache propaganda kuwa tumefikia uchumi wa kati kabla ya lengo. Wewe mwenyewe umekiri tumefikia uchumi wa kati mwaka 2020. Kuna propaganda gani hapo? Kuhusu wastani wa pato uliopangwa ufikie USD 3,000 ifikapo 2025, bado tuna miaka mitano ndiyo useme kama tumefikia lengo au la.

Kufuatana na vipimo vya World Bank vya Julai 2019, ambavyo nimeviangalia kwenye Google dakika chache zilizopita, nchi inawekwa kwenye makundi yafuatayo:

Mpaka USD 1,025: Low Income
USD 1,026-3,995: Lower Middle Income
USD 3,996-12,375: Upper Middle Income
Zaidi ya USD 12,375: High Income

Hitimisho. Tumeingia uchumi wa kati kabla ya tarehe iliyopangwa. Hakuna propaganda hapo. Kitu ambacho hatuwezi kukitathmini kwa sasa ni kuwa kwenye uchumi wa kati wa wastani wa USD 3,000. Hilo tutafanya baada ya miaka mitano. Kulingana na kasi iliyoonyeshwa katika miaka mitano inayokwisha sasa, sina shaka hilo litafanikiwa, kama tukiupa utawala wa Magufuli miaka mingine mitano mwezi ujao.
 
Back
Top Bottom