Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwa hiyo wewe na akili zako zinazofikilia pafupi ulizania kuwa kila kata itajengewa kiwanda?
Duuu kazi kweli kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe na akili zako zinazofikilia pafupi ulizania kuwa kila kata itajengewa kiwanda?
Unauliza jibu na wewe mwenyewe umesema "viwanda vya Bharesa".Unataka kutuambia viwanda vya Bharesa.
Ila viwanda 100 kila mkoa siyo mchezo lazima vingeonekana tu.Kwa hiyo wewe na akili zako zinazofikilia pafupi ulizania kuwa kila kata itajengewa kiwanda?
Viwanda vya Barhesa navyo unavihesabu ni vya Magufuli.Unauliza jibu na wewe mwenyewe umesema "viwanda vya Bharesa".
Jibu hoja. Ni propaganda gani niliisema hapa? Si kweli kwamba mpango wa Taifa unasema mwaka 2025 Tanzania iingie uchumi wa kati na kuwa nchi ya viwanda? Hapa kuna propaganda gani?Naona mnaendeleza propaganda za babu yenu tu!
Kazi gani? Hujui kuwa serikali kazi yake kubwa ni kuweka sera rafiki kwa wawekezaji ili wajenge viwanda?Duuu kazi kweli kweli.
Kwa hiyo sasa hivi tz ina uchumi wa dola 3000?Jibu hoja. Ni propaganda gani niliisema hapa? Si kweli kwamba mpango wa Taifa unasema mwaka 2025 Tanzania iingie uchumi wa kati na kuwa nchi ya viwanda? Hapa kuna propaganda gani?
Kuwa muelewa wewe. Sera rafiki kwa uwekezaji katika viwanda umesababisha vikajengwa viwanda 8847 awamu ya tano.Ila viwanda 100 kila mkoa siyo mchezo lazima vingeonekana tu.
Hao waliojenga viwanda, wanawezaje, acha kukariri mambo.Huwezi ukajenga viwanda kwa sera za ujamaa huwezi ukajenga uchumi wa viwanda kwa kuwachukia mabeberu.
Labda viwanda vya mabua
Hayo ni maneno yako. Mimi sijazungumzia wastani wa mapato ya Mtanzania. Kwa mujibu wa World bank, uchumi wa chini ni wastani wa chini ya USD 1,000. Wastani wa USD 1,000-3,000 ni uchumi wa kati; na wastani juu ya USD 3,000 ni uchumi wa juu. World Bank ilitangaza kuwa wastani wa uchumi wetu ni zaidi kidogo ya USD 1,000. Hivyo tuko kwenye uchumi wa kati. Specifically, ukivuka wastani wa USD 1,000 unahesabiwa kuwa kwenye Lower Middle Income; na ukikaribia wastani wa USD 3,000 unahesabiwa kuwa kwenye Upper Middle Income. Haya yote ni madaraja yanayotajwa na World Bank yenyewe. Sasa kwa nini umsokome Magufuli? Waambie World bank kwamba mmekosea kuitaja Tanzania kuwa kwenye uchumi wa kati.Kwa hiyo sasa hivi tz ina uchumi wa dola 3000?
Ngoja nikuume sikio, futa huu ugolo ulioandika kabla wachumi hawajaja make watacheka mpaka aibu! Hivi unafahamu nchi zenye uchumi wa dola elfu kumi nazo zipo uchumi wa kati? Swali la pili je unafahamu hasa lengo la dira ya taifa ilikuwa 2025 tufike uchumi wa dola 3000 au 1000?Hayo ni maneno yako. Mimi sijazungumzia wastani wa mapato ya Mtanzania. Kwa mujibu wa World bank, uchumi wa chini ni wastani wa chini ya USD 1,000. Wastani wa USD 1,000-3,000 ni uchumi wa kati; na wastani juu ya USD 3,000 ni uchumi wa juu. World Bank ilitangaza kuwa wastani wa uchumi wetu ni zaidi kidogo ya USD 1,000. Hivyo tuko kwenye uchumi wa kati. Specifically, ukivuka wastani wa USD 1,000 unahesabiwa kuwa kwenye Lower Middle Income; na ukikaribia wastani wa USD 3,000 unahesabiwa kuwa kwenye Upper Middle Income. Haya yote ni madaraja yanayotajwa na World Bank yenyewe. Sasa kwa nini umsokome Magufuli? Waambie World bank kwamba mmekosea kuitaja Tanzania kuwa kwenye uchumi wa kati.
Kazi gani? Hujui kuwa serikali kazi yake kubwa ni kuweka sera rafiki kwa wawekezaji ili wajenge viwanda?
Kama umefumba macho utawaona vipi?Mbona hawapo, au wanaogopa kuporwa na madictator?
Viwanda nane elfu si mchezo US tumewapiga mbali sana.Kuwa muelewa wewe. Sera rafiki kwa uwekezaji katika viwanda umesababisha vikajengwa viwanda 8847 awamu ya tano.
Kuwa muelewa wewe. Sera rafiki kwa uwekezaji katika viwanda umesababisha vikajengwa viwanda 8847 awamu ya tano.
Umeandika kwa mihemko sana. Ngoja nikupe list ya baadhi ya viwanda vilivyofunguliwa na Raisi Magufuli katika kipindi cha miaka mitano iliyopita:View attachment 1565079
Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa?
Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine.
Najua waliodanganywa 2015 ni wale wale wanaodanganywa leo 2020 kuwa anakwenda kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya na watu wanashangilia pasipo kuhoji utekelezaji wa Tanzania ya Viwanda.
CCM na Magufuli walivyo wajanja hata kugusia Tanzania ya Viwanda hawataki tena, wanajua wakiwaamusha waliolala watalala wao.
Tuendelee kusifu na kushangilia, tunywe mtori labda nyama tutazikuta kwa chini.
Ngoja nikupe darasa ukawaelimishe wenzako muache propaganda, wb imeclassfy nchi zenye middle income ziwe zile zenye GNI per capita kuanzia dola 1062 to 12450, pia middle income ina makundi mawili lower na upper, lower inaanzia 1062-3955 na upper inaanzia 3956-12450 so tukija upande wa dira ya taifa, ni kwamba iliweka lengo la kuwa na uchumi wa dola elf 3000 ama zaidi kufikia mwaka 2025, ni kweli tz tumeingia uchumi wa Kati coz uchumi wa kati unaanzia dola 1062, ila kama taifa pia tulipanga kufikia 2025 tuwe na uchumi wa dola 3000. So tunawaomba muache propaganda kuwa tumefikia uchumi wa Kati kabla ya lengoHayo ni maneno yako. Mimi sijazungumzia wastani wa mapato ya Mtanzania. Kwa mujibu wa World bank, uchumi wa chini ni wastani wa chini ya USD 1,000. Wastani wa USD 1,000-3,000 ni uchumi wa kati; na wastani juu ya USD 3,000 ni uchumi wa juu. World Bank ilitangaza kuwa wastani wa uchumi wetu ni zaidi kidogo ya USD 1,000. Hivyo tuko kwenye uchumi wa kati. Specifically, ukivuka wastani wa USD 1,000 unahesabiwa kuwa kwenye Lower Middle Income; na ukikaribia wastani wa USD 3,000 unahesabiwa kuwa kwenye Upper Middle Income. Haya yote ni madaraja yanayotajwa na World Bank yenyewe. Sasa kwa nini umsokome Magufuli? Waambie World bank kwamba mmekosea kuitaja Tanzania kuwa kwenye uchumi wa kati.
Unakubali kwamba TZ iko kwenye uchumi wa kati kufuatana na GNI. Unaendelea kusema kwamba dira ya Taifa ni kwamba ifikapo mwaka 2025 GNI iwe USD 3,000. Kitu nisichokielewa ni hiyo sentensi yako ya mwisho inayotuomba tuache propaganda kuwa tumefikia uchumi wa kati kabla ya lengo. Wewe mwenyewe umekiri tumefikia uchumi wa kati mwaka 2020. Kuna propaganda gani hapo? Kuhusu wastani wa pato uliopangwa ufikie USD 3,000 ifikapo 2025, bado tuna miaka mitano ndiyo useme kama tumefikia lengo au la.Ngoja nikupe darasa ukawaelimishe wenzako muache propaganda, wb imeclassfy nchi zenye middle income ziwe zile zenye GNI per capita kuanzia dola 1062 to 12450, pia middle income ina makundi mawili lower na upper, lower inaanzia 1062-3955 na upper inaanzia 3956-12450 so tukija upande wa dira ya taifa, ni kwamba iliweka lengo la kuwa na uchumi wa dola elf 3000 ama zaidi kufikia mwaka 2025, ni kweli tz tumeingia uchumi wa Kati coz uchumi wa kati unaanzia dola 1062, ila kama taifa pia tulipanga kufikia 2025 tuwe na uchumi wa dola 3000. So tunawaomba muache propaganda kuwa tumefikia uchumi wa Kati kabla ya lengo