Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika utatu mtakatifu Yesu ni Mungu.Hapo vipi!
Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini.
Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila wakusifie katika viwango vya kibiinadamu ila kwa hili la Kangi Lugola, kukufananisha na Yesu kristo nakushauri hizo sifa usipokee.
Kumbuka maandiko yanasema Mungu hafananishi na kitu chochote,hivyo ukikubali kufananisha na Yesu Kristo utakuwa umetenda zambi kubwa kufuru.
Kwanini nakuambia usimame na upinge hadharani,kwanza kukaa kimya maana yake umekubaliana na hayo madai,sasa ili kunawa mikono yako na kumuachia Kangi mzigo wake, Jitokeze pinga na kukataa sifa hizo.
Mheshimiwa Rais, kumbuka juzi tulitoka kwenye maombi ya kitaifa na ni kweli Mungu ametenda ila sasa Shetani anamtumia Kangi Lugola kuleta laana katika taifa hili.
Naomba umuonye na atumie akili,busara na hekima wakati anaanza kukusifia.
Yeyote utakayona sawa tu[emoji1787][emoji23]Two in One
Mjinga halafu tena Mpumbavu mzee hiyo haiwezekani
Chagua moja haiwezekani wakati huo huo ukawa mjinga huku ni mpumbavu
KichaaKwani we ukimuangalia kangi kwa uelewa na ufahamu wako unamuonaje.
Ndiyo tabia zenu mafisiHiki nalo utakuta wapinzani wametembea nalo mawezi mzima huu,!
Sijui shida ni nini?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ndio mmevalia njuga huu upuuzi? Nani alisema JPM ni Yesu? Au kiswahili hamjui nyie vibaraka wa Mbowe anayeshinda Chako ni Chako.
Lugola alisema JPM huwa anatatua kero za wananchi papo kwa papo kama Yesu alivyokuwa anafanya. Mfano akienda sehemu kuna shida ya maji au barabara papo kwa papo kero inatatuliwa.
Sasa leo mnabadili maneno ili mpate kick za kisiasa!
Amkufuru MUNGU kwa lipi? Kwani kasema yeye ni MUNGU au yeye ni yesu? Ushauri wako ungeuelekeza kwa Alie toa hii kauli,Kuna kipindi yule shehe wa mkoa alisema magufuli anavyotawala na kupenda haki Ni sawa na mtume Mohammad, waislamu hawakupenda walimwambia shehe Hadi aombe radhi hawakusema magufuli ajitokeze aombe radhi,Alie kosea na mwenye makosa ni kangiMimi Sio mwanachama wa Chadema na sina chama,namshauri Rais wetu, asijisahau akashawishiwa kumkufuru Mungu.Hili ni kwa faida yake na taifa letu kwa ujumla.
Kwani we ukimuangalia kangi kwa uelewa na ufahamu wako unamuonaje.
Ni hivi Rais asipo toa karipio kwa tabia hii inayoendelea ,maana yake anapendezwa na watu wenye kumsifia kwa namna hii...hivyo basi,inaweza mbeleni watu wakaona ni jambo la kawaida kumsifia na kumfananisha Rais Magufuli na Yesu Kristo...na hauwezi jua kuna watu wengine wataenda mbali zaidi na kukufuru kuliko huyu Kangi Lugola.Amkufuru MUNGU kwa lipi? Kwani kasema yeye ni MUNGU au yeye ni yesu? Ushauri wako ungeuelekeza kwa Alie toa hii kauli,Kuna kipindi yule shehe wa mkoa alisema magufuli anavyotawala na kupenda haki Ni sawa na mtume Mohammad, waislamu hawakupenda walimwambia shehe Hadi aombe radhi hawakusema magufuli ajitokeze aombe radhi,Alie kosea na mwenye makosa ni kangi
Kwasasa jina lake limebadilika kutoka MEKO mpaka YESU...........Hii ni KUFURU.Hapo vipi!
Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini.
Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila wakusifie katika viwango vya kibiinadamu ila kwa hili la Kangi Lugola, kukufananisha na Yesu kristo nakushauri hizo sifa usipokee.
Kumbuka maandiko yanasema Mungu hafananishi na kitu chochote,hivyo ukikubali kufananisha na Yesu Kristo utakuwa umetenda zambi kubwa kufuru.
Kwanini nakuambia usimame na upinge hadharani,kwanza kukaa kimya maana yake umekubaliana na hayo madai,sasa ili kunawa mikono yako na kumuachia Kangi mzigo wake, Jitokeze pinga na kukataa sifa hizo.
Mheshimiwa Rais, kumbuka juzi tulitoka kwenye maombi ya kitaifa na ni kweli Mungu ametenda ila sasa Shetani anamtumia Kangi Lugola kuleta laana katika taifa hili.
Naomba umuonye na atumie akili,busara na hekima wakati anaanza kukusifia.
Unashangaa kumsifia mbona anavyotukanwa na kudhalilishwa husemi mbona hajitokezi kukemea, unafikiri anapenda?Ni hivi Rais asipo toa karipio kwa tabia hii inayoendelea ,maana yake anapendezwa na watu wenye kumsifia kwa namna hii...hivyo basi,inaweza mbeleni watu wakaona ni jambo la kawaida kumsifia na kumfananisha Rais Magufuli na Yesu Kristo...na hauwezi jua kuna watu wengine wataenda mbali zaidi na kukufuru kuliko huyu Kangi Lugola.
Tatizo ni Magufuli . Anapenda sana sifa, hasa zile za kishamba, zilizopitiliza, ambazo ukimpa mtu wa kawaida atazikataa. Sasa unataka Kangi afanye nini? Madaraka anayataka, kayaonja na kayapenda. Kusifia tu? aaah, mpe Magufuli ike kitu roho yake inapendaHapo vipi!
Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini.
Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila wakusifie katika viwango vya kibiinadamu ila kwa hili la Kangi Lugola, kukufananisha na Yesu kristo nakushauri hizo sifa usipokee.
Kumbuka maandiko yanasema Mungu hafananishi na kitu chochote,hivyo ukikubali kufananisha na Yesu Kristo utakuwa umetenda zambi kubwa kufuru.
Kwanini nakuambia usimame na upinge hadharani,kwanza kukaa kimya maana yake umekubaliana na hayo madai,sasa ili kunawa mikono yako na kumuachia Kangi mzigo wake, Jitokeze pinga na kukataa sifa hizo.
Mheshimiwa Rais, kumbuka juzi tulitoka kwenye maombi ya kitaifa na ni kweli Mungu ametenda ila sasa Shetani anamtumia Kangi Lugola kuleta laana katika taifa hili.
Naomba umuonye na atumie akili,busara na hekima wakati anaanza kukusifia.
Kweli tunaambiwa hata Nkurunziza kile cheo cha sepreme eternal leader kimemchukiza Mungu fuatilia mtumishi wa Mungu IAN NDLOVU WA ZIMBABWE youtube kuhusu BurundiHili suala lazima Rais alikee tena sana
Hiki sio kitu cha kawaida kabisa
Yesu hafananishwi na binadamu yoyote yule mwenye ubora wa aina yoyote tunaweza kuuona pengine hata kutenda.
'Jesus is the perfection of all creatures include devil himself'
Imeandikwa kuwa yeye ni Mwanzo na Mwisho na yote ndani yote
In fact Lugola kafanya jambo la kipuuzi ni wa kukemewa hadharini tu na yeye mwenyewe Rais
Acha kujibu hoja kwa akili ndogo kiasi hichoUnashangaa kumsifia mbona anavyotukanwa na kudhalilishwa husemi mbona hajitokezi kukemea, unafikiri anapenda?
Kwa hiyo Lugola kasema JPM ni Yesu?Na wewe unakurupuka tu bila kuelewa kinachoongelewa eti unamtetea mwana ccm mwenzako, Siyo kwamba Rais kaitwa Yesu bali kafananishwa na Yesu! Hiyo ni dhihaka kwa Yesu na kwa wakristu,hakuna binadamu anayeweza kufananishwa na Yesu, hayupo na hatakuwepo! Biblia inasema Yesu ni Mungu aliyechukua jukumu la ukombozi wa wanadamu, ndivyo Wakristu wanavyoamini.
Wewe una hoja gani? Zaidi ya usukule wako?Acha kujibu hoja kwa akili ndogo kiasi hicho