mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Mijinga machagadomo haijielewi!!! Akikujibu nitagKwa hiyo Lugola kasema JPM ni Yesu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mijinga machagadomo haijielewi!!! Akikujibu nitagKwa hiyo Lugola kasema JPM ni Yesu?
Mpumbavu toka zamaniKwani we ukimuangalia kangi kwa uelewa na ufahamu wako unamuonaje.
Shida ni kufananisha mtu na Yesu aitwae kristo.Hiki nalo utakuta wapinzani wametembea nalo mawezi mzima huu,!
Sijui shida ni nini?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo nalo mtalibeba kama agenda ya kampeni?Shida ni kufananisha mtu na Yesu aitwae kristo.
Duniani wapo yesu laki hakuna kristo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yesu huyu ni muoga kichizi...Ila mkuu maisha ya dunia plus cheo alichonacho ni matamu lazima ajikimbishe ili apate kutafuna mema ya nchi......Kiranja wa malaika mbingu. Yaani jamaa ana utitiri wa vyeoyesu wa Lugola aliikimbia corona
Dah!!Kwani sio kweli?., Magufuli ni mungu wao MaCCM, yanajua anapenda kuabudiwa, na yanamuadu na kumsujudia, hili la kumuita YESU ni MOJA ya ibada Lumumba:
Ibada zingine ni mtukufu dokta John Josefu Pombe Magufuli Kiongozi wa malaika. Muweza wa yote na asieshindwa kwa lolote.
Hakuna kama Magufuli na haijawahi kutokea awe rais wa dunia.
Kupatwa kwa Tanganyika., pole yetu.
Yaani umtume zwazwa mmoja akupaishe halafu umkane hadharani?Hapo vipi!
Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini.
Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila wakusifie katika viwango vya kibiinadamu ila kwa hili la Kangi Lugola, kukufananisha na Yesu kristo nakushauri hizo sifa usipokee.
Kumbuka maandiko yanasema Mungu hafananishi na kitu chochote,hivyo ukikubali kufananisha na Yesu Kristo utakuwa umetenda zambi kubwa kufuru.
Kwanini nakuambia usimame na upinge hadharani,kwanza kukaa kimya maana yake umekubaliana na hayo madai,sasa ili kunawa mikono yako na kumuachia Kangi mzigo wake, Jitokeze pinga na kukataa sifa hizo.
Mheshimiwa Rais, kumbuka juzi tulitoka kwenye maombi ya kitaifa na ni kweli Mungu ametenda ila sasa Shetani anamtumia Kangi Lugola kuleta laana katika taifa hili.
Naomba umuonye na atumie akili,busara na hekima wakati anaanza kukusifia.