Rais Magufuli, jitokeze hadharani kupinga kufananishwa na Yesu Kristo!

Sidhani kama atakuelewa! Huenda yeye anatamani kabisa aitwe Mungu kabisa! Kama hapendi utaniambia kama atakuja kukanusha.
 
Katika utatu mtakatifu Yesu ni Mungu.

Kusema JPM ni kama Yesu Kristu ni sawa na kusema JPM ni kama Mungu.Ni kauli ya kuogopesha na ya kufuru.
 
Two in One
Mjinga halafu tena Mpumbavu mzee hiyo haiwezekani
Chagua moja haiwezekani wakati huo huo ukawa mjinga huku ni mpumbavu
Yeyote utakayona sawa tu[emoji1787][emoji23]
 
Kaimbe mapambio wewe MATAGA bwana wa mabwana mungu wa miungu alufa na omera nan kama mwewe......
 
Mimi Sio mwanachama wa Chadema na sina chama,namshauri Rais wetu, asijisahau akashawishiwa kumkufuru Mungu.Hili ni kwa faida yake na taifa letu kwa ujumla.
Amkufuru MUNGU kwa lipi? Kwani kasema yeye ni MUNGU au yeye ni yesu? Ushauri wako ungeuelekeza kwa Alie toa hii kauli,Kuna kipindi yule shehe wa mkoa alisema magufuli anavyotawala na kupenda haki Ni sawa na mtume Mohammad, waislamu hawakupenda walimwambia shehe Hadi aombe radhi hawakusema magufuli ajitokeze aombe radhi,Alie kosea na mwenye makosa ni kangi
 
Kwani ayo ni madai. Anayetakiwa kurudisha hii kauli ni Lugola pekee
 
A little too late hata akipinga! Itaonekana ni kwasababu ya shininikizo. Hili hakupaswa kushinikizwa. Unless anaenda kanisani kipropaganda.
 
Ni hivi Rais asipo toa karipio kwa tabia hii inayoendelea ,maana yake anapendezwa na watu wenye kumsifia kwa namna hii...hivyo basi,inaweza mbeleni watu wakaona ni jambo la kawaida kumsifia na kumfananisha Rais Magufuli na Yesu Kristo...na hauwezi jua kuna watu wengine wataenda mbali zaidi na kukufuru kuliko huyu Kangi Lugola.
 
Kwasasa jina lake limebadilika kutoka MEKO mpaka YESU...........Hii ni KUFURU.
 
Maccm humu yanalia Lia na kufafanua kauli ya lugola..hahahahaha.
 
Unashangaa kumsifia mbona anavyotukanwa na kudhalilishwa husemi mbona hajitokezi kukemea, unafikiri anapenda?
 
Tatizo ni Magufuli . Anapenda sana sifa, hasa zile za kishamba, zilizopitiliza, ambazo ukimpa mtu wa kawaida atazikataa. Sasa unataka Kangi afanye nini? Madaraka anayataka, kayaonja na kayapenda. Kusifia tu? aaah, mpe Magufuli ike kitu roho yake inapenda
 
Kweli tunaambiwa hata Nkurunziza kile cheo cha sepreme eternal leader kimemchukiza Mungu fuatilia mtumishi wa Mungu IAN NDLOVU WA ZIMBABWE youtube kuhusu Burundi
Hicho cheo kwa namna kinahusika. Sasa haya mambo ya kumpachika rais vyeo au kumfananisha na aliyeumba mbingu ni nchi ni laana. Tahadhari ichukuliwe kwa kukana huo ufananisho
 
Kakosea akatubu, na pia Mh Raisi akatae sifa hiyo, ili tuwe salamaa
 
Kwa hiyo Lugola kasema JPM ni Yesu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…