Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

Sio rahisi mwanasiasa yoyote kuomba msamaha
 
Wewe Kama mtu anajiita kichaa unadhani ukiwa na akili timamu utawezaje kuelewa matendo yake na kauli zake ...labda uwe kichaa kama yeye 😂 😂 😂 😂
 
Hivi anavyosema maendleo hayana chama na nyie mizezeta ya lumumba mnashanglia huwa ana maanisha nini??
 
Umenikumbusha chuoni, hii ni course kabisa inaitwa adivocacy and lobbying, hata upige kelele kiasi gani wananchi wanachotaka kuona ni impact yq hizo kelelem
Maana ya lobing sio hiyo anayoambiwa mdee afanye
seek to influence (a legislator) on an issue.Lobbyists are the paid persuaders whose job it is to influence the decisions of government. Typically, they operate behind closed doors, through quiet negotiation with politicians. And the influence they enjoy is constructed very consciously, using a whole array of tactics.Mar 12, 2014, , heading 3, Heading
 
Ndugu yangu usiwe kijana wa hivyo Muheshimu Mungu wako, tusiwe hatunazo kisa uchama
 
Leo ni jumapili ya Octoba 18,2020 hii ikae kwenye kumbukumbu ya vizazi na vizazi vitakavyopitia JF .............."Rais wa awamu ya 5 John Magufuli,ameligawa taifa kwenye misingi ya kuchukiana na kubaguana kwa itikadi za kisiasa,machafuko yatakayotokea yana baraka zote za ccm na serikali yake....watanzania tumkatae huyu Baba,huenda sio mwenzetu"........
 
Mwenyekiti anatatizo la memory huenda hata 1mb haifiki
Mkuu memory ya "nileteeni Gwajimaa, nileteeeeniii Gwaaajimaaaaa!!!" memory iko sawa ila ubaguzi na gubu vimemjaa, hukumbuki Morogoro alivoropoka kuwa "tatizo mnachagua wabunge kwa jazibaa, ningekua mbunge wa hapa ningeshatatua hili", akijua ni mbunge wa Chadema kumbe ni wa ccm.
 
Lobbing? Pumbavu kabisa, unalob nini mbunge kwa serikali kuwaombea wananchi WANAOLIPA KODI kwa serikali ili barabara zitengenezwe?
Huo ndio upumbavu wa ccm tunaosema lazima iondoke, mambo hayaendi kisheria Ila ushikaji.

NDIO MAANA TUNASEMA SASA, HATUTAKI TENA RAIS MUONGO
 
Wewe ndo kichwa zege brain.
Nani kaongea ati “lobbing”.
Mnatoka uchochoroni hata kuelewa kinachoongelewa hujui.
Kanywe chai karibu na sebule lako linalotazamana na choo cha passport size.
 
Wewe ndo kichwa zege brain.
Nani kaongea ati “lobbing”.
Mnatoka uchochoroni hata kuelewa kinachoongelewa hujui.
Kanywe chai karibu na sebule lako linalotazamana na choo cha passport size.
Kutotumia spell check hakufanyi maana ya kilichosemwa kupotea kwa watu wenye uelewa mpana. Ukishindwa hilo tatizo lako.
Suala la ujenzi wa barabara za muhimu kwenye jiji kama Dar eneo LA Kawe ulitaka Mbunge afanye Lobbying ya nini?
Upumbavu tuu umewajaa na ndio mnafikia kubwabwaja hovyo tuu na kumuacha Mwenyekiti wenu aliyeupata urais kwa bahati mbaya anasimama hadharani na kusema UONGO MKAVU kabisa.
Mambo ya choo sijui passport, unayajua mwenyewe maana yanaendana na huo uchumi wenu wa kati
 
Mwisho wa ubaya ni aibu!! Magufuli muongo Kama walivyo wanaccm waenzake!! nasema ccm ni washamba!!
 
Nawewe peleka ujinga wako lumumba!!
 
Kweli hatufai atoke tu. Kumi imetosha aenede akamalizie kesi zake
 
H
Hata Kama huna akili hivi wewe macho hauoni??
Angalia video halafu soma comments zako
 
Cha ajabu pia watu wanasikia akitoa kauli za kibaguzi juu ya vyama vyao ambayo vipo kisheria bado watampigia kura.
Adhabu waliyoipokea kwa kuwatamkia yeye mwenyewe yafaa imrudie trh 28 Oct.
 
Cha ajabu pia watu wanasikia akitoa kauli za kibaguzi juu ya vyama vyao ambayo vipo kisheria bado watampigia kura.
Adhabu waliyoipokea kwa kuwatamkia yeye mwenyewe yafaa imrudie trh 28 Oct.
Msikilize kama hapa, mzee mzima anakosa hata aibu? Muongo na mnafiki?
Your browser is not able to display this video.
 
H

Hata Kama huna akili hivi wewe macho hauoni??
Angalia video halafu soma comments zako
Watu mliochanganyikiwa mna matatizo makubwa kichwani.
Hatuchagui mbunge ambaye kitanda chake nusu ya ubunge wake ni mahabusu.
Mnampenda Halima kamsaidieni kulala mzungu nne mahabusu Na mumtie joto.
Siye tunataka mtu wa kutatua kero za barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…