Sheria IPI na inayomgusa nani ? MASIKINI wa kitanzania au genge LA lowasa,Mkuu usipotoshe watu, sisi tunapinga kuchezea sheria na katiba kwa kukandamiza demokrasia, kutatua kero za wananchi na ufisadi tunamuunga mkono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria IPI na inayomgusa nani ? MASIKINI wa kitanzania au genge LA lowasa,Mkuu usipotoshe watu, sisi tunapinga kuchezea sheria na katiba kwa kukandamiza demokrasia, kutatua kero za wananchi na ufisadi tunamuunga mkono
Moshi kuko vizuri saana aiseee, sijui akifika atasemajeJe,ziara hii ya Rais itakuwa dawa tosha ya matatizo yanayowasibu Wananchi wa maeneo hayo?
Umeingiza shlng ngapi ktk kufuta umasikini wako Leo?chenga
Tunataka kulalamikaSasa Rais akichukua hatua kama unavyotaka mnasema yeye ni "Dikteta" asipochukua mnalalamika, watanzania manataka nini hasa?
Umechangia shlng ngapi ktk kuanzisha viwanda au mchango wako ni upi ktk kuanzishwa viwanda?
Salaam Wandugu,
Kwa taarifa nilizozipata,Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategemea kufanya ziara Mkoani Kilimanjaro hasa Wilaya ya Siha kuanzia tar 1-9-2016.
Taarifa hizo zinadai atafanya mkutano wa hadhara katika mtaa wa Mji mwema,kijiji cha Roseline, kata ya Ndumeti tarafa ya Siha Magharibi. Na moja ya ajenda itakua ni ujenzi wa barabara kwa kiwango cha Lami kutoka Sanya-Juu kupitia Ngarenairobi mpaka Elerai kuelekea huko Kamwanga.
Je,ziara hii ya Rais itakuwa dawa tosha ya matatizo yanayowasibu Wananchi wa maeneo hayo? Je,wawekezaji wasio na tija katika taifa ukiwepo wa Endarakwai unaweza kutumbuliwa?
Je Mgogoro waArdhi usiokwisha baina ya wafugaji jamii ya Kimaasai na mwekezeji Peter Jones utatolewa ufumbuzi?
Je,ufisadi wa milion 250 zilizoripotiwa kufanywa na Mkurugenzi aliyemaliza muda wake Ndg Rashid Kitambulio na aliyekuwa mwenyekiti wa baraza la madiwani Mh. Nassari utazun
Je,ukodishwaji wa eneo kubwa ardhi kwa matajiri huku wananchi wakilalama wasipate hata pa kukodisha unaweza kupatiwa ufumbuzi?
Yote hayo na mengine mengi tutajua pale atakapowasili Mkuu wetu wa Kaya.
Tusubiri na tutaona.
Msiha.
mbona unatoa suluhu kama vile unahusika kwa namna fulani. sasa ni wakati wa kuhesabiana haki. ujanjaujanja kupitia vikaoOfisi ya Raisi si ofisi ya kutoa hukumu hadharani kwa mashauri ambayo taratibu za kisheria zinaendelea. Kama kuna Kiongozi anatuhumiwa kwa ufisadi wa fedha za umma mahakama ipo na baada ya kutoa hukumu ofisi inaweza kuchukua hatua za kinidhamu. Pia tatizo la mikataba ya ukodishwaji wa ardhi ni tatizo la kimfumo na wakati taratibu za ukodishaji zinafanyika hatua zote zilipitiwa kama kuna dosari zitabainishwa na wataalamu wa sheria na kuwekwa hadharani si kazi ya raisi kwenda kutoa value judgement kwenye mikutano ya hadhara
Kama hujui faida ya Demokrasia utaendelea kuwa masikini mpaka unaingia kaburiniYa nani ? Sisi MASIKINI na democrasia uchara ya wasaka ikulu kipi ni muhimu kwetu,?
Sasa Rais akichukua hatua kama unavyotaka mnasema yeye ni "Dikteta" asipochukua mnalalamika, watanzania manataka nini hasa?
Ya nani ? Sisi MASIKINI na democrasia uchara ya wasaka ikulu kipi ni muhimu kwetu,?
Uungwaji mkono hautokei kwa matamko kama ni matamko mfuate ole sendeka na Uvchukua chako mapema.Acha uongo wako. Ni lini mlimuunga mkono katika juhudi zake? Lete angalau tamko moja la Chadema. Kila kitu mmekalia kupinga tu, tena bila hata ya kufikiri.
Siha iko wilaya ya Hai