Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
- Thread starter
- #41
Ilikua ni Wilaya moja kabla,wilaya ya Hai. Baadae Mh Aggrey Mwanri alipigania Siha ikafanywa kama wilaya ya peke yake mwaka 2007. Ina ukubwa wa kilometa za mrana 1158 huku Hai ikiwa na ukubwa wa kilometa za Mraba 1011. Unapozungumzia Siha na Hai kama Wilaya ndogo unajidanganya tu kwa sababu,majuzi Rais alitangaza wilaya nyingine mbili za mkoa wa Dar es Salaam! Kigamboni na Ubungo (wilaya nyinginezo za mikoa tofauti pia zilitajwa)Ingelikuwa jambo la busara kama JPM angetangaza kuziunganisha wilaya ya Hai na Siha. Hizi wilaya mbili kimaeneo ni ndogo sana na hakuna sababu za msingi ziwe wilaya mbili. Huu mgawanyo ulifanyika kwa maslahi binafsi, period.
Je unataka kutuaminisha kuwa hizo Wilaya ni kubwa kieneo kulinganisha na Siha na Hai?