Tetesi: Rais Magufuli Kufanya Ziara Mkoani Kilimanjaro

Mkuu usipotoshe watu, sisi tunapinga kuchezea sheria na katiba kwa kukandamiza demokrasia, kutatua kero za wananchi na ufisadi tunamuunga mkono
Sheria IPI na inayomgusa nani ? MASIKINI wa kitanzania au genge LA lowasa,
 
Karibu sana Raisi JPM.... Kilimanjaro tuna imani na wewe
 
Nilicheka siku moja tido muhando anamuoji lowasa eti unataka nae azunguke kama magufuli nikajiuliza yeye ni nani?
 
Sisi Arusha tunamsubuli kwa hamu kubwa sana maana manispaa hii wizi MTU hatuna maji wala nini hapa
 

September Mosi 2016, Rais Dr. John Pombe Maguguli atakuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya Kumi na Nne ya siku ya Wahandisi yatakayofanyika hapa jijini Dar es Salaam.

Endelea kuishi kwa Tetesi
 
mbona unatoa suluhu kama vile unahusika kwa namna fulani. sasa ni wakati wa kuhesabiana haki. ujanjaujanja kupitia vikao
vya vigogo fisadi na wanasheria wauza haki
mahakamani itashindikana. kuwadhuluma wananchi vijijini sasa itakoma.
 
Ya nani ? Sisi MASIKINI na democrasia uchara ya wasaka ikulu kipi ni muhimu kwetu,?
Kama hujui faida ya Demokrasia utaendelea kuwa masikini mpaka unaingia kaburini
 
Anyway japo siyo taarifa Rasmi ila endapo atafanya Ziara niza nini hasa maana anatumia gharama nyingi sana ujue na ni kodi zetu???????
Anakwenda kukagua utekelezaji wa Miradi au na kama nikukagua Miradi kuna Mawaziri na wengine aliyewapa dhamana....yeye afanye mabo ya Kitaifa na Kimatifa kwa ushauri wangu.
TUnataka ahudhurie pia mikuatano ya Viongozi wenzake wa Afrika na mialiko yenye TIJA KWA TAIFA TU na siyo kama Mzee wa Msogo kule Jamaika kwenye bembea n.k NOT
 
Sasa Rais akichukua hatua kama unavyotaka mnasema yeye ni "Dikteta" asipochukua mnalalamika, watanzania manataka nini hasa?

Ya nani ? Sisi MASIKINI na democrasia uchara ya wasaka ikulu kipi ni muhimu kwetu,?

Mimi nilikuwa namjibu Brigedia Chan-ocha, na swali lake kama linavyoonekana linauliza 'WATANZANIA MNATAKA NINI HASA?'

Mimi sijakuelewa hata hivyo, udikteta utaondoaje umaskini wako. Jirani yako akienda kwenye mkutano wa siasa wewe unakosa riziki yako? Umaskini unaanzia kichwani. Maskini hatakagi kuwa huru.
 
Acha uongo wako. Ni lini mlimuunga mkono katika juhudi zake? Lete angalau tamko moja la Chadema. Kila kitu mmekalia kupinga tu, tena bila hata ya kufikiri.
Uungwaji mkono hautokei kwa matamko kama ni matamko mfuate ole sendeka na Uvchukua chako mapema.
 
Siha iko wilaya ya Hai

Ingelikuwa jambo la busara kama JPM angetangaza kuziunganisha wilaya ya Hai na Siha. Hizi wilaya mbili kimaeneo ni ndogo sana na hakuna sababu za msingi ziwe wilaya mbili. Huu mgawanyo ulifanyika kwa maslahi binafsi, period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…