Tetesi: Rais Magufuli Kufanya Ziara Mkoani Kilimanjaro

Ingelikuwa jambo la busara kama JPM angetangaza kuziunganisha wilaya ya Hai na Siha. Hizi wilaya mbili kimaeneo ni ndogo sana na hakuna sababu za msingi ziwe wilaya mbili. Huu mgawanyo ulifanyika kwa maslahi binafsi, period.
Ilikua ni Wilaya moja kabla,wilaya ya Hai. Baadae Mh Aggrey Mwanri alipigania Siha ikafanywa kama wilaya ya peke yake mwaka 2007. Ina ukubwa wa kilometa za mrana 1158 huku Hai ikiwa na ukubwa wa kilometa za Mraba 1011. Unapozungumzia Siha na Hai kama Wilaya ndogo unajidanganya tu kwa sababu,majuzi Rais alitangaza wilaya nyingine mbili za mkoa wa Dar es Salaam! Kigamboni na Ubungo (wilaya nyinginezo za mikoa tofauti pia zilitajwa)

Je unataka kutuaminisha kuwa hizo Wilaya ni kubwa kieneo kulinganisha na Siha na Hai?
 
Mkuu usipotoshe watu, sisi tunapinga kuchezea sheria na katiba kwa kukandamiza demokrasia, kutatua kero za wananchi na ufisadi tunamuunga mkono
Kweli yaani hapo kwenye kubinya uhuru wa kidemokrasia ndipo anaharibu kabisa cv yake anakuwa kama mtu aliyepika supuu safi sasa badala ya kuanza kuigawa watu wanywe yeye anatia tena nazi. Yaani hapo haiwi supu tena ila inakuwa ni mchuzi!
 
Ziara inaanza lini??? 1st Sept?? Karibu Rais wetu Kilimanjaro.
 
Ziara zake ni kama Yupo kwenye kampen
 
Tetesi, unataka tujali nini sasa! bora ungetoa taarifa ya hiyo tetesi yako bila kutaja mambo ambayo unatarajia aidha kwa namna moja au nyingine ungependa yaguswe ktk tetesi yako! Any way, ahsante kwa tetesi hiyo!
Sasa ume comment nini?
 
Mkuu hebu tuliza kichwa na unambie ni lini Rais kafanya jambo la kimaendeleo alafu ukasikia Mtu anasema ni Dictator? Nadhani upande wa Upinzani wanamuita Dikteta kwa sababu ya kuzuiwa mikutano ya vyama vya Siasa. Siyo kwa sababu nyingine.
Na hili watu hawalizungumzii hata kidogoo,udikteta unaozungumzwa ni yeye tu kujiona ndo mwenye haki ya kufanya mikutano kokote anakotakaa,ila kwa wengine muhali.
 
Kwa nyakati tulizonazo kila kitu kinawezekana
 
Umechangia shlng ngapi ktk kuanzisha viwanda au mchango wako ni upi ktk kuanzishwa viwanda?
Umechangia shlng ngapi ktk kuanzisha viwanda au mchango wako ni upi ktk kuanzishwa viwanda?
Umechangia shlng ngapi ktk kuanzisha viwanda au mchango wako ni upi ktk kuanzishwa viwanda?
Tunalipa kodi kwa kila kitu tukitumiacho kasoro pumzi tu.
Alipokuwa anajinadi alitangaza Tanzania yenye viwanda, vitakavyo jengwa na serikali ya magufuri, sio kwa wananchi kuchangishwa.
Use you brain kabla haujauliza swali, utachekwa kijana, you better think beyond your nose.
 
Ni kweli,ila inaonesha wakati mzee Kabwe akipitia kwenye michakato hiyo uloitaja hapo juu wewe ulikuwa bado upo shule unasoma
 


Kwa nini usishinde kwanza uchaguzi na chadema wenzako ili muhudhurie hiyo mialiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…