Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaaaa! Unatafuta ugomvi na viti maalum wewe. Bunge halitakalika
Kama ingekuwa ya Warioba Dr asingeokolewa na ndicho hicho hawakitakiCCM hawataki kusikia ile katiba ya Warioba sijui kwanini
Kwasababu hawapendi kuona MAZURI yakifanyika,wao wanafaidika kwa kufanya MABAYA.Na UKWELI ni sumu kali sana kwao,ukiwa mzuri lazima utakua ADUI yao tu.Mzee wa watu Warioba alikua na nia nzuri sana kwa FAIDA ya kila Mtanzania matokeo yake wakawatuma vijana wao wampige yule mzee, ni laana hi bro....CCM hawataki kusikia ile katiba ya Warioba sijui kwanini
Wagombee ndio 50/50 hiyo wanayodai. Muda wa affirmative umekwishajapokuwa wabunge wengi wa viti maalum ni uwezo wao ni mdogo na wanachangia kwa emotions zaidi kuliko reason, siungi mkono kufutwa kwao, labda wangepunguza idadi sio kufuta, na madiwani pia......Wanawake wasshirikishwe kwenye siasa wakuu wana mchango mkubwa sana kwa jamii
Wanalazimisha hamsini kwa hamsini.Huenda ni maalum kusema ndiyoooooHv k
Hiv kazi ya maalum ni kipi hasahasa. Kwa wenye uelewa
yahani una mahanisha anakubali kui-attenuate ccm???.................Ikiwa ni kuondokana na gharama zisizo za msingi, serikali ya Magufuli inasemekana iko tayari kuanza mchakato wa katiba mpya kwa kuanza kuleta upya mapendekezo ya tume ya jaji Warioba yaliyotupiliwa mbali awali. Ambapo pamoja na mambo mengine ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima wabunge wa viti maalum hawatakuwepo, kama ilivyopendekezwa na tume ya Jaji Warioba..
"Wabunge hawa wa viti maalum hawana kazi wanayofanya zaidi ya kuliingizia taifa hasara" Dr. Bana alipoulizwa kuhusu mapendekezo ya Warioba kurudiwa upya
Pamoja na hilo, Rais pia kadhamiria kurudisha miiko ya uongozi kama moja ya njia ya kurudisha nchi katika misingi ya uwajibikaji na uzalendo....
Mytake: Rais Magufuli kama unataka ubaki katika historia ya nchi hii, basi tunaomba utuletee upya mapendekezo ya Jaji Warioba...
MaRc na MaDc vipi mkuu kama hivyo viti vikaondolewa?Hahahahahaaaaaa! Unatafuta ugomvi na viti maalum wewe. Bunge halitakalika
Lumumba wanataka kutuondoa kwenye hoja ya Jessica!!
Viti maalumu...vifutiliwe mbali ili kupeana..kwa offer za Ngongo kufe..na u baby baby uishe!japokuwa wabunge wengi wa viti maalum ni uwezo wao ni mdogo na wanachangia kwa emotions zaidi kuliko reason, siungi mkono kufutwa kwao, labda wangepunguza idadi sio kufuta, na madiwani pia......Wanawake wasshirikishwe kwenye siasa wakuu wana mchango mkubwa sana kwa jamii
Jessica ndio nani?BABAA Jessica
jina la mtu. hilo kama mpiga ulimi sio lazima umjueJessica ndio nani?
Acha hoja muhimu ya Jessica ikamilike kwanzaikifika pahala mtu anakosa hoja na kumfanya mtu kuwa ndo hoja yake ujue taifa lina shida kubwa,wewe ni shida moja wapo katika taifa....................
Futa hao waliopo kisiasa RC na DC, acha wabaki watendaji tu RAS, DAS na MD ndio watendaji......hiyo mizigo miwili tupa kuleKati ya RAS, RC, DC na MD wawili hapo nao ni mizigo, wawili tu wanaweza kufanya kazi ya hao wote wanne
Kama Halima Mdee kwa mfano alishinda na kumshinda mwanamume unadhani kwa nini waendelee kupewa dezo. Wapiganie hizo nafasi. Wavifute tu. Zibakie nafasi za uteuzi za Rais nayo iseme wazi ni kwa ajili ya mawaziri sio wabunge. Na wawe vetted na Bungejapokuwa wabunge wengi wa viti maalum ni uwezo wao ni mdogo na wanachangia kwa emotions zaidi kuliko reason, siungi mkono kufutwa kwao, labda wangepunguza idadi sio kufuta, na madiwani pia......Wanawake wasshirikishwe kwenye siasa wakuu wana mchango mkubwa sana kwa jamii