Mheshimiwa Rais,
Nakuandikia kama raia mwema, anayekutakia mema. Najua una mema na nchi, ila umezungukwa na manyoka. Nina uhakika siwezi kuja ikulu kukuona, ntapata matatizo zaidi ya kuzawadiwa kwa kuwa raia mwema. Mheshimiwa rais, naomba nikushauri kitu kimoja. Kuwa makini na vijana uliowapa madaraka makubwa. Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha.
Huyu ni kijana anayeaminika ndani ya chama chetu. Ni kijana anayetoa matamko kila kukicha. Ni kijana wako. Mkuu wa mkoa. Sitaongea mengi kwa leo, ila nakupa tu dondoo kumhusu huyu nyoka anayegawa fedha sijui ni za nini, lakini Kanagawa fedha nyingi sana, ambazo sijaelwa zinafanya kazi gani.
Mheshimiwa Rais, Tarehe 14 mwezi wa April mchana kwenye moja ya mahoteli makubwa jijini, huyu kijana alikuwa na mmoja wa aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje, wakiongea mambo ya siri. Wakiwa ni watu watatu tu. Na moja ya vitu ambavyo niligundua, ilikuwa ni kuwachezeshea recording kwenye simu, ambayo ilikuwa ni kikao kizito, na sauti yako ilikuwemo. Tarehe 6 July, walikuwa pamoja maeneo ya Mikocheni, huyu kijana wako alikuwa mwenyewe kwenye gari aina ya Rav4 nyeusi yenye vioo vyeusi. Hii ilikuwa ni usiku mida ya saa 2.30. Hichi kikao kiliwajumuisha viongozi wa awamu ya 4. Pamoja na waziri mmoja wa sasa, kijana ambaye aligombea urais.
Mheshimiwa Rais, kuna vikao vingi vya siri vinavyofanyika usiku, vingine siwezi hata kukumbuka tarehe, lakini ni ambazo huyu kijana anashiriki . Baadhi ya watu anaoshirikiana nao, ni watu ambao tayari umewatumbua au hawana nafasi kwenye serikali ila wapo ndani ya chama. Moja ya watu anaokutana nao sana ni mwana wa mfalme ambaye anatuhumiwa kwenye kashfa nyingi. pamoja na rafiki yako Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM
Kumbuka, huyu kijana ana mahusiano makubwa sana na hiyo familia ya mfalme aliyepita. Siwezi kuamini, ghafla akawasaliti na kukuunga wewe mkono. Mara utawala wa awamu ya nne ulikuwa mbovu, thubutu. Mh. Rais, huyu kijana unayemfahamu fika ni nyoka. Mikakati yake ni kukuangusha keither either kwa kujua au kutokujua. Ni remote anayekuwa controlled na watu wenye nguvu nyingi sana ndani ya CCM. Angalia matamko yake.