Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Hii issue kuna ukweli ndani yake..!!! Sidhani kama mtu anaweza kuongea issue kama hizo wakati hana evidence. Jamaa huyo atakuwa na evidence ya kutosha. Si maneno ya kupuuza hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha aendelee kumhujumu ni jambo la heri sana hilo kama akifanikiwaMheshimiwa Rais,
Nakuandikia kama raia mwema, anayekutakia mema. Najua una mema na nchi, ila umezungukwa na manyoka. Nina uhakika siwezi kuja ikulu kukuona, ntapata matatizo zaidi ya kuzawadiwa kwa kuwa raia mwema. Mheshimiwa rais, naomba nikushauri kitu kimoja. Kuwa makini na vijana uliowapa madaraka makubwa. Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha.
Huyu ni kijana anayeaminika ndani ya chama chetu. Ni kijana anayetoa matamko kila kukicha. Ni kijana wako. Mkuu wa mkoa. Sitaongea mengi kwa leo, ila nakupa tu dondoo kumhusu huyu nyoka anayegawa fedha sijui ni za nini, lakini Kanagawa fedha nyingi sana, ambazo sijaelwa zinafanya kazi gani.
Mheshimiwa Rais, Tarehe 14 mwezi wa April mchana kwenye moja ya mahoteli makubwa jijini, huyu kijana alikuwa na mmoja wa aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje, wakiongea mambo ya siri. Wakiwa ni watu watatu tu. Na moja ya vitu ambavyo niligundua, ilikuwa ni kuwachezeshea recording kwenye simu, ambayo ilikuwa ni kikao kizito, na sauti yako ilikuwemo. Tarehe 6 July, walikuwa pamoja maeneo ya Mikocheni, huyu kijana wako alikuwa mwenyewe kwenye gari aina ya Rav4 nyeusi yenye vioo vyeusi. Hii ilikuwa ni usiku mida ya saa 2.30. Hichi kikao kiliwajumuisha viongozi wa awamu ya 4. Pamoja na waziri mmoja wa sasa, kijana ambaye aligombea urais.
Mheshimiwa Rais, kuna vikao vingi vya siri vinavyofanyika usiku, vingine siwezi hata kukumbuka tarehe, lakini ni ambazo huyu kijana anashiriki . Baadhi ya watu anaoshirikiana nao, ni watu ambao tayari umewatumbua au hawana nafasi kwenye serikali ila wapo ndani ya chama. Moja ya watu anaokutana nao sana ni mwana wa mfalme ambaye anatuhumiwa kwenye kashfa nyingi. pamoja na rafiki yako Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM
Kumbuka, huyu kijana ana mahusiano makubwa sana na hiyo familia ya mfalme aliyepita. Siwezi kuamini, ghafla akawasaliti na kukuunga wewe mkono. Mara utawala wa awamu ya nne ulikuwa mbovu, thubutu. Mh. Rais, huyu kijana unayemfahamu fika ni nyoka. Mikakati yake ni kukuangusha keither either kwa kujua au kutokujua. Ni remote anayekuwa controlled na watu wenye nguvu nyingi sana ndani ya CCM. Angalia matamko yake.
wamagorofani...Kwa kuwahakikishia tu, yote aliyoyaleta mtoa mada na mengine mengi, yanajulikana pale Kijitonyama. TISS ipo kumlinda rais na ya Tanzania inajulikana Afrika.
You got it.wamagorofani...
Huhitaji cheti cha form six kuielewa tahadhari iliyopo hapa lakini nina iman na ninaiman na ninaimani hawataweza kumfanya lolote mh. Magufuri na hawataweza kweli kabisa na watashindwa kabla hawajaanza maana naamini haya yote mh. Magufuri atachukua kama tahadhari.Mheshimiwa Rais,
Nakuandikia kama raia mwema, anayekutakia mema. Najua una mema na nchi, ila umezungukwa na manyoka. Nina uhakika siwezi kuja ikulu kukuona, ntapata matatizo zaidi ya kuzawadiwa kwa kuwa raia mwema. Mheshimiwa rais, naomba nikushauri kitu kimoja. Kuwa makini na vijana uliowapa madaraka makubwa. Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha.
Huyu ni kijana anayeaminika ndani ya chama chetu. Ni kijana anayetoa matamko kila kukicha. Ni kijana wako. Mkuu wa mkoa. Sitaongea mengi kwa leo, ila nakupa tu dondoo kumhusu huyu nyoka anayegawa fedha sijui ni za nini, lakini Kanagawa fedha nyingi sana, ambazo sijaelwa zinafanya kazi gani.
Mheshimiwa Rais, Tarehe 14 mwezi wa April mchana kwenye moja ya mahoteli makubwa jijini, huyu kijana alikuwa na mmoja wa aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje, wakiongea mambo ya siri. Wakiwa ni watu watatu tu. Na moja ya vitu ambavyo niligundua, ilikuwa ni kuwachezeshea recording kwenye simu, ambayo ilikuwa ni kikao kizito, na sauti yako ilikuwemo. Tarehe 6 July, walikuwa pamoja maeneo ya Mikocheni, huyu kijana wako alikuwa mwenyewe kwenye gari aina ya Rav4 nyeusi yenye vioo vyeusi. Hii ilikuwa ni usiku mida ya saa 2.30. Hichi kikao kiliwajumuisha viongozi wa awamu ya 4. Pamoja na waziri mmoja wa sasa, kijana ambaye aligombea urais.
Mheshimiwa Rais, kuna vikao vingi vya siri vinavyofanyika usiku, vingine siwezi hata kukumbuka tarehe, lakini ni ambazo huyu kijana anashiriki . Baadhi ya watu anaoshirikiana nao, ni watu ambao tayari umewatumbua au hawana nafasi kwenye serikali ila wapo ndani ya chama. Moja ya watu anaokutana nao sana ni mwana wa mfalme ambaye anatuhumiwa kwenye kashfa nyingi. pamoja na rafiki yako Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM
Kumbuka, huyu kijana ana mahusiano makubwa sana na hiyo familia ya mfalme aliyepita. Siwezi kuamini, ghafla akawasaliti na kukuunga wewe mkono. Mara utawala wa awamu ya nne ulikuwa mbovu, thubutu. Mh. Rais, huyu kijana unayemfahamu fika ni nyoka. Mikakati yake ni kukuangusha keither either kwa kujua au kutokujua. Ni remote anayekuwa controlled na watu wenye nguvu nyingi sana ndani ya CCM. Angalia matamko yake.
Aisee umemchoka wewe na wajinga wachache wanao wanao hitaji mafanikio ya haraka haraka bila kufikirisha akili maana nikiangalia mambo ya msingi sana tena sana naona hana tatizo lolote zaid ya mapungufu madogo madogo ambayo ataendelea kujireekebisha akisha izoea ikulu na mamlaka aliyo nayo kitu ambacho naona kimeanza kutokea maana kuna tofauti kubwa kati ya mwanzo na sasa.wewe unataka kuharibu kabisa dili,sasa akihujumiwa huyu wewe una hasara gani? mtaani tumemchoka mno wacha ahujumiwe tu,
Wee kurupuka kama mkulu sasa subiri uoneMleta mada umekuwa lini na huruma kwa Rais? Makubwa haya.
Anajua kua anapendwa na hawezi kufanyiwa kitu! haya.Aiseee! Huyo kijana Mkuu wa Mkoa wa Matamko hajui kua kiongoz hajaribiwi?
Hilo song lipigwee mida yaa saa 7 hiviii club, afu ukutee nishatwangika kisawasawaI heared from a friend "He has been Messin' around"
a song by pitbull