Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Wakati Twiga anachungulia dirisha la Air Quarter, hiyo "security apparatus" ilikua "inajamiana"?
Huyu huwa anatumia redbone marrow nyakati fulani kama mbadala wa medula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati Twiga anachungulia dirisha la Air Quarter, hiyo "security apparatus" ilikua "inajamiana"?
Sawa Mungu! Ila Unafikia waliofanyiwa mabaya wote walikuwa hawapendwi?Anajua kua anapendwa na hawezi kufanyiwa kitu! haya.
Once said is done!
Umeua! Security apparatus ilikuwa inaharisha...
Wewe huwezi mchongea Makonda Kifala.Mheshimiwa Rais,
Nakuandikia kama raia mwema, anayekutakia mema. Najua una mema na nchi, ila umezungukwa na manyoka. Nina uhakika siwezi kuja ikulu kukuona, ntapata matatizo zaidi ya kuzawadiwa kwa kuwa raia mwema. Mheshimiwa rais, naomba nikushauri kitu kimoja. Kuwa makini na vijana uliowapa madaraka makubwa. Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha.
Huyu ni kijana anayeaminika ndani ya chama chetu. Ni kijana anayetoa matamko kila kukicha. Ni kijana wako. Mkuu wa mkoa. Sitaongea mengi kwa leo, ila nakupa tu dondoo kumhusu huyu nyoka anayegawa fedha sijui ni za nini, lakini Kanagawa fedha nyingi sana, ambazo sijaelwa zinafanya kazi gani.
Mheshimiwa Rais, Tarehe 14 mwezi wa April mchana kwenye moja ya mahoteli makubwa jijini, huyu kijana alikuwa na mmoja wa aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje, wakiongea mambo ya siri. Wakiwa ni watu watatu tu. Na moja ya vitu ambavyo niligundua, ilikuwa ni kuwachezeshea recording kwenye simu, ambayo ilikuwa ni kikao kizito, na sauti yako ilikuwemo. Tarehe 6 July, walikuwa pamoja maeneo ya Mikocheni, huyu kijana wako alikuwa mwenyewe kwenye gari aina ya Rav4 nyeusi yenye vioo vyeusi. Hii ilikuwa ni usiku mida ya saa 2.30. Hichi kikao kiliwajumuisha viongozi wa awamu ya 4. Pamoja na waziri mmoja wa sasa, kijana ambaye aligombea urais.
Mheshimiwa Rais, kuna vikao vingi vya siri vinavyofanyika usiku, vingine siwezi hata kukumbuka tarehe, lakini ni ambazo huyu kijana anashiriki . Baadhi ya watu anaoshirikiana nao, ni watu ambao tayari umewatumbua au hawana nafasi kwenye serikali ila wapo ndani ya chama. Moja ya watu anaokutana nao sana ni mwana wa mfalme ambaye anatuhumiwa kwenye kashfa nyingi. pamoja na rafiki yako Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM
Kumbuka, huyu kijana ana mahusiano makubwa sana na hiyo familia ya mfalme aliyepita. Siwezi kuamini, ghafla akawasaliti na kukuunga wewe mkono. Mara utawala wa awamu ya nne ulikuwa mbovu, thubutu. Mh. Rais, huyu kijana unayemfahamu fika ni nyoka. Mikakati yake ni kukuangusha keither either kwa kujua au kutokujua. Ni remote anayekuwa controlled na watu wenye nguvu nyingi sana ndani ya CCM. Angalia matamko yake.
mkuu nakupa like afu nakuja kuusoma huu uzi baada ya kupiga bao la pili
mkuu, pamoja na kuwa umekosea ukaandika Air Quarter badala ya Air Qatar,Wakati Twiga anachungulia dirisha la Air Quarter, hiyo "security apparatus" ilikua "inajamiana"?
Lizaboni, linapokuja suala la well-being ya rais niko na rais ila kwenye siasa tunatofautiana approach, hiyo ni principle yangu.Mleta mada umekuwa lini na huruma kwa Rais? Makubwa haya.
Nacheza Darft mkuu, si unajuaa pesa, kazi na ajira zimesimamaa??Uko kwenye mashindano ya Olympic?
Jambo zito kama hili likisemwa lisipuuzwe, hatua madhubuti zichukuliwe!!Unajuaje labda na yeye anapeleka mrejesho kwa raisi. Isitoshe huyo mkuu wa mkoa ni coward hana option nyingine zaidi ya nafasi za teuzi sidhani kama ni mpuuzi kiasi cha kuweza kuchezea position yake knowing Magu is merciless unless anazo baraka za raisi vingenevyo ni story ya kutunga.
Mkuu ni bora ungekaa kimya kuliko kutusi mleta mada. JF humu mambo hua yanasema wazi na kwa kiasi kikubwa hua kweli, sasa endelea kujipa matumaini hapo. Ungekua na akili ungefatilia ujue ukweli wa jambo.Ameshakwambia kua hawezi kwenda ikulu kuonana na mkuu sasa wewe unatakaje? Aje nyumbani kwako?Wewe huwezi mchongea Makonda Kifala.
Magufuli ana vyanzo vya habari kuliko unavyofikri wewe.
Pole yako sana, hapa kazi tu, majungu hayana nafasi awamu ya Tano.
Kuna watu wanalipwa kwa shughuli za kumlinda halafu umeuona msafara wa raisi ujui gari lake lipi na njia yote yake, kuna ambulance na walinzi si chini ya 200 by the looks.Jambo zito kama hili likisemwa lisipuuzwe, hatua madhubuti zichukuliwe!!
Kuna watu wana maslahi yao hawapendi kupoteza.
Tulimpoteza PM Sokoine kiajabu ajabu, tuwe makini kila mtu kwenye kitengo chake, msifanye masihara!!
Lisemwalo lipo kama halipo laja!!
Mdharau mwiba mguu uota tende!!