Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha


Mkuu nani huyo?
 
Unaongelea mambo ya kampeni kabla ya kuchuja wagombea na kutupilia mbali hilo fisadi lenu? Hasira za kutupiliwa mbali fisadi lenu unazileta Leo?
 
halafu wewe mkenya nairobian mleta mada nilishakukanya Mara nyingi koma kuingilia siasa za Tanzania kamalizeni ukabila wenu Kenya kwanza
 
It is better to remain silent and to be thought a fool than to speak and remove all doubt.
 








Elimu nzuri hufanyika kwa vielelezo.
 
Ukiona kelele zimekuwa nyingi jua Makonda umewashika pabaya....endelea kiwashika baba
 
We tulia ww wacha nyumba iendelee kuwaka moto kidogo kidogo mpaka watakuja kushituka imekaribia kuungua yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…